Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

MEA-MTWARO

Senior Member
May 15, 2013
128
40
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu

.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"

.
 
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu .nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?" .
Kama umemaliza tuma salamu.
 
slaa amechanganyikiwa na mambo ya josephine kwa hiyo kila akianza kuzungumza anamfikiria mkewe wa kupora
 
Babu anazidi kujiongezea madhambi. Dhambi ya uzinifu hajaungama na sasa anajiongezea dhambi ya kusema uongo na kujikweza
 
anafikiri kinana ni josephine huyo, kinana ni namba ingine kabisa, akae mbali ataloa
 
Huyu babu slaa anazidi kuchanganyikiwa hasa akiona kuwa ikulu anaiwlwkwza kisogo.
 
unazingumza kitu gani unaijua elimu ya slaa. au unapiga domo
 
anafikiri kinana ni josephine huyo, kinana ni namba ingine kabisa, akae mbali ataloa
Kama amesema kuwa kinana si size yake, mbona walipotakiwa kuwa na mdahalo pale ITV alipotokea Nape alimkataa kwa madai kuwa mtu wa zaizi yake, kinana ndo anamtaka? Yaani jambo lililotokea juzi tu amesahau je akikabidhiwa nchi hali itakuwaje
 
Kinana kawekwa hapo na cheo..hawezi kusimama sehemu Dr slaa alipo.kwa ufupi poucher Kinana ni hovyo kabisa.
 
Hivi ule mdahalo wa Makatibu wakuu wa CDM na CCM ITV umefikia wapi?

Au bado katibu mkuu wa CCM ana udhuru?! Huo mdahalo ndiyo ungemaliza huu UBISHI wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Kinana.
 
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu

.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"

Huwezi kuwa CCM katika umri huo halafu usiwe mjinga. Kumshinda kwenye lipi?
 
salam zangu za kwanza zimfikie mke wangu wa kupora, mtoto wetu wa zinaa na mwisho kabisa walisha zumu wote popote pale walipo..
Pia salamu ziwafikie wale wote wanaochangia chadema saccos hali inayotusaidia mimi na hawara wangu kutembelea nchi mbalimbali ikiwemo israel, zambia na uingereza huku tukifanikisha ujenzi wa nyumba yetu ya kifahari.
 
Haya kachukue elfu 3 pale kinondoni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi ule mdahalo wa Makatibu wakuu wa CDM na CCM ITV umefikia wapi?

Au bado katibu mkuu wa CCM ana udhuru?! Huo mdahalo ndiyo ungemaliza huu UBISHI wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Kinana.
Mkuu, kinana hawezi kujadili jambo na mzinifu, mpora wake za watu na mzaa nje ya ndoa. Atakasike kwanza ndipo aanze kujilinganisha yeye na kinana
 
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu

.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"

.
Ambacho hukuelewa nini? au je UONGO huko wapi?

Kwani hawa [MENTION]Dr. W. Slaa[/MENTION] na Kinana wako SIZE moja?.

Au unadanganywa na wote kuwa makatibu wa Vyama vya siasa!.

Soma katikati ya maneno ya Dr. Slaa utapata majibu kama huwezi kutumia macho yako vizuri!.
 
Hivi ule mdahalo wa Makatibu wakuu wa CDM na CCM ITV umefikia wapi?

Au bado katibu mkuu wa CCM ana udhuru?! Huo mdahalo ndiyo ungemaliza huu UBISHI wa nani zaidi kati ya Dr. Slaa na Kinana.

Mwenye 'CV kubwa' yupo bize kuboresha CV yake, hana muda wa midahalo

elephant1-20120904181820105747-620x414.jpg
 
Back
Top Bottom