Dk.Slaa anasa waraka wa siri CCM, afichua wizi wa mabilioni hazina

inasemekana serikali hii ya kikwete imejaa wafanyakazi hewa ajabu! yaani wafanyakazi hewa ni dili kwa wakubwa. kila kibosile anamajina yake(hewa) kama 10, 20,...mpaka 50 hivi. vichwa vyote hivi vinalipwa mishahara, na pesa husika inaingia kwenye akaunti ya kibosile.

Umenigusa patamu Mkuu! DIT inaongoza ktk taasisi zote za elimu ya juu. Ina wafanyakazi hewa kibao na waliopo kazini ni vilaza ajabu!
 
Ukisikia kuzeeka vibaya ndiko huku, nchi haitawaliki wakati serikali inaendelea na kazi zake kama kawaida, kwa njia ya kufanya maandamano tu km cdm wafanyavyo huwezi sema nchi haitawaliki kwa hakuna mgomo sehemu yoyote ambao utaathiri uchumi wa nchi

Tatizo lenu nyie wana CCM ni wagumu wa kuelewa na mnapenda kutwist mambo!! Anaposema nchi haitatawalika siyo lazima kuwe na machafuko au vita kama Somalia. Fungua macho ili uangalie nchi hii ilivyokuwa miaka 5-6 iliyopita na sasa. Hivi unafikiria wananchi wataendelea kuvumilia mpaka lini wakati kila kukicha wanasikia mabillion yanaliwa na inner circle wakati wao hata chips bubu na juice ya ukwaju ni tatizo???
 
nasubiri kwa hamu sana jibu la serikali na ccm kuhusu huo waraka

hawana mabavu yakujibu ukweli, sikuzote ukweli unaibuka kuwa ushindi ccm imekosa makamanda wa kuokoa jahazi hilo linalo zama badala yake sasa imepeta w.a.s.e.n.g.e wakulizamisha jahazi hilo
 
Lakini kauli aliyotoa ni nzito mkuu, na hii mi naisikia kwake kwa mara ya tatu sasa. Wassira aliahidi kuwa akirudia tena anampeleka jela. Sasa mbona anairudiarudia lakini Wassira na Serikali kwa ujumla hakuna hatua zozote wanazochukua? Au wanamwogopa Slaa na cdm?

Utaweza vipi kumpeleka jela 'Rais wa ndani ya mioyo' ya watanzania? Ajaribu aone moto wake; though he acts informally is a society's legitimised president while the other is constitutionaly imposed president!
 
Nikajua ni kweli kanasa document ya maana ya kuibia Nchi kumbe porojo tu,sasa anataka CCM wasiwe na mkakati wao? Hopeless Dr wit Phd

Mlengo wa kati,
Hauko moto wala baridi,bora ungekuwa mlengo wa kushoto
au wa kulia,tukajua msimamo wako.
Umenikumbusha giningi,
 
hawana mabavu yakujibu ukweli, sikuzote ukweli unaibuka kuwa ushindi ccm imekosa makamanda wa kuokoa jahazi hilo linalo zama badala yake sasa imepeta w.a.s.e.n.g.e wakulizamisha jahazi hilo

Wanajamvi hii siyo nzuri kwa mstabari wa great thinker.
 
CCM wenyewe wenyewe walishajua chama chao kimeshakufa, sasa hizo semina elekezi za nini? watu wanafikia level kama hiyo hawajui wajibu wao kuwatumikia wananchi? inasikitisha sana.

Haya yote anayosema DR. ni ya ukweli ila wao watawaambia wananchi eti mzushi wakifikiri wananchi ni wale wa enzi zile za "Zidumu fikra sahi hi za mwenyekiti", time will tell lakini CCM is no more guys.

Nashukuru mbunge wetu naye keshatupatia semina elekezi sisi wapiga kura wake wakija mitaani kwetu na uzushi wao. 'Operation popoa mawe na kisha zomea'.
 
inasemekana serikali hii ya kikwete imejaa wafanyakazi hewa ajabu! yaani wafanyakazi hewa ni dili kwa wakubwa. kila kibosile anamajina yake(hewa) kama 10, 20,...mpaka 50 hivi. vichwa vyote hivi vinalipwa mishahara, na pesa husika inaingia kwenye akaunti ya kibosile.

aisseeee.. very painful... napata hasira mbaaayaaa
 
Back
Top Bottom