Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Kuna habari zinaendelea kusambaa kama moto wa kifuu kuwa Dk Slaa amefanya/au atafanya press confeence huko Dodoma this morning. Mlioko huko hebu tuhabarisheni. Tuna hamu ya kujua anasema nini huyu Mheshimiwa aliyekoga nyoyo za watanzania zikakogika!