Makame
JF-Expert Member
- Jan 3, 2008
- 512
- 60
Wadau
Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.
Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa Dkt WPS wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake EU.
Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na PhD ataweza kutambua bayana kuwa hii Barua ni uchakachuaji wa Mhe Dkt WPS katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.
Nawasilisha.