Dk. Slaa alipua ufisadi mkubwa; ataka Ofisi ya Bunge ichunguzwe haraka

Labda wewe unisaidie kunielewesha vizuri na pia unieleweshe nini maana ya kashfa hasa ikichukuliwa kuwa Mh. Mbowe ana ndoa inayotambuliwa kimila, kiserikali na kidini.

kumbe unaongelea habari za ndoa ya Mbowe,unataka nijadili ngono na sio mabilioni aliyotaja Dr.Slaa!wewe jadili ndoa ya Mbowe kwa kuwa umekuathiri kiakili mimi nipo na ufisadi kwa kuwa nalipa kodi
 
Chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe ! Padri Slaa tokea kamanda C.wangwe afariki hajawahi kuitisha misa ya kumwombea wala kutembelea kaburi lake hata kulipia bango TBC kashindwa ! Mzimu wa Chacha wangwe sasa umeibuka ndio Unawapagawisha tutashuhudia Vioja vingi hv karibuni

michango ya CCM mitandaoni inatudharirisha sana watanzania ndani na nje ya nchi
 
CAG akimaliza ukqguzi wa ofisi ya bunge akague na mahesabu ya posho za safari wakati wa ziara za huyu babu, pia hiyo perfomance audit angemuagiza Komu afanye ya M4C na maandamano nchi nzima. Ok by the way naona maelfu kwa maelfu ya wakazi wa Tura yakimsikiliza babu. Hapa photo shop imebuma mangi.
 
kumbe unaongelea habari za ndoa ya Mbowe,unataka nijadili ngono na sio mabilioni aliyotaja Dr.Slaa!wewe jadili ndoa ya Mbowe kwa kuwa umekuathiri kiakili mimi nipo na ufisadi kwa kuwa nalipa kodi
Mkuu, wewe mwenyewe umesema hiyo siyo kashfa kwa maana kuwa tayari umeishaijadili na kuitolea hitimisho. hapa sikuelewi tena unaposema hujadili wakati umeishajadili tayari.

Mimi sijajadili na sitajadili ndoa ya Mh. Mbowe kwa sababu hainihusu. wanaotakiwa kuijadili ni wenye ndoa. Ninachosema ni kadhia iliyomkuta kama kiongozi ambaye ni kioo katika jamii.

Kujikwaa ni sehemu moja ya maisha ya binadamu. Mh. Mbowe amejikwaa kama binadamu na ubinadamu wake umemwangusha.

Ndugu yangu, wewe jadili tu na pia hiyo mabilioni.

Angalia usije ukajikuta mjadala wako unagota huko huko kwenye ngono ambapo wabunge walikuwa wanajitafutia safari kwa kutumia pesa ya walipa kodi kupitia kwenye kamati za bunge ili wengine wakaendeleze matendo machafu nje ya nchi.
 
Dr.W.Slaa leo ana jifanya kujua umuhimu wa ukaguzi na kusahau wamekuwa wakimuandama zitto kwa kuhitaji ukaguzi.

Dr slaa ana wadaganya wana nchi kuwa anapenda ukaguzi huku akijua kabisa wabunge wake pamoja na mwenyekiti wake wamezitafuna posho na hawakusafiri.

Dr slaa anasema bunge limekuwa sehemu ya umbea na majungu sababu siri mbowe na kimada wake imejulikana na mwenye kiti wake anatumia pesa za walipa kodi kufanya starehe zake. Dr slaa ange furahi na kushabikia sana kama ingekuwa ni mtu mwingine lakini kwakuwa ni mbowe basi anasema ni majungu.

DR SLAA anasema mwenyekiti wa bunge na spika wamelinda umbea na majungu wakati wao ndio walimuokoa mbowe kwenye aibu.

Dr slaa anatakiwa awambie wana kijiji kuwa yaliyosemwa bungeni kuhusu mwenyekiti wa chadema taifa ni ukweli au lah na si kutaka kufunika hilo swala.

Dr slaa anatakiwa kuwambia watanzania ni lini chama kitamuita mbowe mbele ya cc kujieleza na ikithibitika ametumia madaraka yake kutafuna pesa za umma watamfanya nini?

Dr.W.Slaa anatakiwa kuitisha kikao cha cc ili kumvua kumjadili mbowe na ikiwezekana avuliwe nyazifa zake kwa kutia aibu chama.

Mwisho naungana na Dr.W.Slaa kutaka ukaguzi wa pesa za safari na matumizi ya bunge na pia uchunguzi huu uendane na wabunge wasio safiri kurudisha pesa.

PIA NAUNGANA NA Dr.W.Slaa KUTAKA MBOWE ACHUNGUZWE.

PIA NIMUOMBE Dr.W.Slaa AWEKE HADHARANI HUO UFISADI NA HIZO BARUA ALIZO NASA HILI WATANZANIA WOTE WAONE TUNATAKA USHAHIDI HATUTAKI STORY.
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni wanafiki sana. Zitto alikemea posho wakaungana wakamtuma lema wakimuita mnafiki wakazishabikia, leo slaa analeta usanii na unafiki baada ya mbowe, mukya na nassari kuumbuka. Hatudanganyiki
mbona umemsahau zambi na pindi chana? Hao unawaweka wapi?
 
Labda wewe unisaidie kunielewesha vizuri na pia unieleweshe nini maana ya kashfa hasa ikichukuliwa kuwa Mh. Mbowe ana ndoa inayotambuliwa kimila, kiserikali na kidini.
Ng'wamapalala!

Why your extremely bias my home boy?

Tukianza kujadili ngono za hawa waheshimiwa hamna atakaye baki salama toka huyo Mwigulu;CHADEMA hadi kule Ikulu!

Je uzinzi wa Mbowe(MB) ndiyo umefanya watoto wetu %61 sasa wanafikia Darasa la 7 bila kujua kusoma wala kuandika?

Mkuu as a Nation tuna matatizo makubwa mno sio haya ya uzinzi!

(%61 ya watoto wote ina maana kila penye wanafunzi 100 wa shule za Msingi TZ basi 61 wanamaliza bila kujua kusoma wala kuandika)
 
Last edited by a moderator:
Chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe ! Padri Slaa tokea kamanda C.wangwe afariki hajawahi kuitisha misa ya kumwombea wala kutembelea kaburi lake hata kulipia bango TBC kashindwa ! Mzimu wa Chacha wangwe sasa umeibuka ndio Unawapagawisha tutashuhudia Vioja vingi hv karibuni
unadhalilisha dini za wenzako, mdini mkubwa sana wewe!
 
Huna jipya padre wewe. Kumbe unajua na maana ya ukaguzi. Hela katafuna mbowe na hawara zake. Acha kujitoa akili raisi wa gongo. chama ona haya.
 
Last edited by a moderator:
CAG akimaliza ukqguzi wa ofisi ya bunge akague na mahesabu ya posho za safari wakati wa ziara za huyu babu, pia hiyo perfomance audit angemuagiza Komu afanye ya M4C na maandamano nchi nzima. Ok by the way naona maelfu kwa maelfu ya wakazi wa Tura yakimsikiliza babu. Hapa photo shop imebuma mangi.
teh teh, afadhali hao, maana hawajasombwa kwa malori, na kwa vijiji vya tabora vilivyo hao ni wengi sana!
 
Chadema choka mbaya, hata nice speakers hamna kwenye campaign.
Ukweli ni kuwa sio Chadema Chama pinzani bali Zitto ndo mpinzani wa CCM.
 
Mkuu, wewe mwenyewe umesema hiyo siyo kashfa kwa maana kuwa tayari umeishaijadili na kuitolea hitimisho. hapa sikuelewi tena unaposema hujadili wakati umeishajadili tayari.

Mimi sijajadili na sitajadili ndoa ya Mh. Mbowe kwa sababu hainihusu. wanaotakiwa kuijadili ni wenye ndoa. Ninachosema ni kadhia iliyomkuta kama kiongozi ambaye ni kioo katika jamii.

Kujikwaa ni sehemu moja ya maisha ya binadamu. Mh. Mbowe amejikwaa kama binadamu na ubinadamu wake umemwangusha.

Ndugu yangu, wewe jadili tu na pia hiyo mabilioni.

Angalia usije ukajikuta mjadala wako unagota huko huko kwenye ngono ambapo wabunge walikuwa wanajitafutia safari kwa kutumia pesa ya walipa kodi kupitia kwenye kamati za bunge ili wengine wakaendeleze matendo machafu nje ya nchi.
mkuu ukichunguza kwa makini safari za wabunge nje ya nchi hazina tija kwa taifa, ni sehemu ya bunge kusaidia kutafuna pesa zetu tu!
 
Dr.W.Slaa leo ana jifanya kujua umuhimu wa ukaguzi na kusahau wamekuwa wakimuandama zitto kwa kuhitaji ukaguzi.

Dr slaa ana wadaganya wana nchi kuwa anapenda ukaguzi huku akijua kabisa wabunge wake pamoja na mwenyekiti wake wamezitafuna posho na hawakusafiri

Hizi bilion 60 zimetafunwa na Mbowe?

PAC inaweza likagua Bunge?

BUNGE ni shirika la UMMA?

Tatizo kubwa la TZ ni sera ya kudhibiti Fedha zake!Kila organ inaweza tu kwenda HAZINA kuchota pesa!CAG akague matumizi ya billion hizi na yyt atakaye kutwa na hatia awajibishwe bila kujali chama gani!

JK kaenda nchi 6 ndani ya siku 12;kweli kwa matumizi haya ya kiholela kitabaki kitu HAZINA?
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa leo ana jifanya kujua umuhimu wa ukaguzi na kusahau wamekuwa wakimuandama zitto kwa kuhitaji ukaguzi.

Dr slaa ana wadaganya wana nchi kuwa anapenda ukaguzi huku akijua kabisa wabunge wake pamoja na mwenyekiti wake wamezitafuna posho na hawakusafiri.

Dr slaa anasema bunge limekuwa sehemu ya umbea na majungu sababu siri mbowe na kimada wake imejulikana na mwenye kiti wake anatumia pesa za walipa kodi kufanya starehe zake. Dr slaa ange furahi na kushabikia sana kama ingekuwa ni mtu mwingine lakini kwakuwa ni mbowe basi anasema ni majungu.

DR SLAA anasema mwenyekiti wa bunge na spika wamelinda umbea na majungu wakati wao ndio walimuokoa mbowe kwenye aibu.

Dr slaa anatakiwa awambie wana kijiji kuwa yaliyosemwa bungeni kuhusu mwenyekiti wa chadema taifa ni ukweli au lah na si kutaka kufunika hilo swala.

Dr slaa anatakiwa kuwambia watanzania ni lini chama kitamuita mbowe mbele ya cc kujieleza na ikithibitika ametumia madaraka yake kutafuna pesa za umma watamfanya nini?

Dr.W.Slaa anatakiwa kuitisha kikao cha cc ili kumvua kumjadili mbowe na ikiwezekana avuliwe nyazifa zake kwa kutia aibu chama.

Mwisho naungana na Dr.W.Slaa kutaka ukaguzi wa pesa za safari na matumizi ya bunge na pia uchunguzi huu uendane na wabunge wasio safiri kurudisha pesa.

PIA NAUNGANA NA Dr.W.Slaa KUTAKA MBOWE ACHUNGUZWE.

PIA NIMUOMBE Dr.W.Slaa AWEKE HADHARANI HUO UFISADI NA HIZO BARUA ALIZO NASA HILI WATANZANIA WOTE WAONE TUNATAKA USHAHIDI HATUTAKI STORY.
teh teh,mengine umejitaidi, kwa hiyo cc ya chadema imvue mbowe vyeo vyake kwa mahusiano yake ya kingono na joyce? Yaani mahusiano ya watu dr. Slaa aingilie? Hapo hujamtendea haki kwa kweli slaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom