Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

Mwandosya kama kasema hivyo ametusaidia watz kuwa Magufuli sio zao la mfump mbaya wa ccm!Vinginevyo hujui hierachy ya nchi, Rais ndio kila kitu chama baadae, hivi unadhani ccm ina ubavu wa kumshinikiza kikwete?Ni bora ukae kimya kama hujui unachokisema, fanyeni kosa Lowasa awe rais kwa mfano then muone mziki wake kama kweli atawatii chadema!Sasa hivi tu kina mbowe wana yield tayari hata hajawa mgombea vipi akiwa rais
Wewe ndio hujui ukisemacho. Nani kakuambia Rais ndio kila kitu? Nenda kamuulize Mbeki baada ya kuvuliwa Uenyekiti wa Chama na Zuma kilitokea nini? Ni kuwa chama kwa kawaida ndicho kiundacho serikali na kina nguvu kubwa kuliko Rais. Ujanja unaofanywa hapa na CCM ni kuhakikisha Rais anakuwa pia Mwenyekiti ili vikao vya chama visiwe na uwezo wa kumdhibiti kwa vile mwenyekiti wa chama ndio huyohuyo Rais.
Jifunze siasa na uendeshaji wa serikali kijana kabla ya kutoka povu.
 
Technically, mtu ana uanachama wa siku moja, labda hata katiba ya chama haijui anapewa rank ya juu kama hiyo si rahisi kwa kila mwanachama kufurahi. Haya yameonakana hata kwa viti vya ubunge; kwanini waliojiunga kwanza wasiwe wanachama, wapate muda wa kuelewa misingi ya chama ndipo watafute uongozi? kwa chama kama ACT inaweza kueleweka, lakini si chama chenye miaka zaidi ya kumi. Hata kama lengo ni kwenda ikulu, lakini si kwa compromise misingi na kanuni za chama.
 
hapa ni suala kutumia nafasi, lowassa anapendwa na watu hilo ndo la maana ni nafasi nzuri kwa chama kujiimarisha..upinzani ukishaimarika hayo mengine yatafuata lakini kwa sasa achana na hizo protocol hazitusaidii
 
DSC098711.jpg
 
Hili gazeti liliuza sana wakati wa mkutano mkuu a Ccm maana wajumbe walikuwa wanalazimishwa kupewa na malipo yanakatwa kwenye posho. Nchi hii ina mambo!
 
Haahaaa
Mtahangaika Sana
Slaa kakanusha Jana,na amesema atamnadi lowasa

Hakuna kipindi katika historia ya kuumbwa kwa ulimwengu CCM inahangaika kama sasa...Yaani watahangaika sana mwaka huu..MEdia houses zote except Uhuru ndio zinaipigia debe CCm the rest wakiongozwa na kuratibiwa na Abson Kibanda wako kwa Lowassa..Simuoni magufuli akiimba abiseremaaa na kuandikwa na vyombo vingine vya habari isipokuwa Uhuru...
 
Hilo gazeti nilikuta Choo cha stend wanatumia kucha................
 
Back
Top Bottom