Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

Ajiudhuru tu, hii iliyotokea ni fursa na haitatokea tena UKAWA wameona mbali sasa kama yeye anataka kila siku kubishia matokea wakati kura hazitoshi ni yeye, sisi mbele kwa mbele:
 
Wakati huu ni wakuwa makini sana, kuchuja kila kitu kabla ya "kukitangaza kwa umma" na hata rafiki au mkeo, unaweza kujishushia credibility yako ambayo hautasahau kwa kipindi chote.
 
Kwa sasa mmiliki halali aliyenunua chadema kwa fedha taslim za kitanzania Bilioni 10 ni Edward Lowassa.aliyepokea fedha kwa niaba ya Chama ni Freema Mbowe. Kwa sasa asiyetaka masharti ya Lowasa anaruhusiwa kuhama.
 
attachment.php
 
Huo ni uamuzi wake. Sisi kikubwa ni kuiondoa CCM madarakani. Utafiti unaonyesha kuwa asingemshinda Magufuli sasa ya nini kupoteza nafasi hii adimu tuliyoipata.
 
Dr Slaa alikuwapo kwenye mazungumzo yote ...Kama alivyosema Mbowe ule uamuzi ulikua mzito kwa Chama ....na haina maana wote walikubali ...na hao ambao hawakukubali wataendelea kuelewa taratibu...
Njia ya Ikulu ya chadema na ukawa ni nyepesi vigingi Lazima viwepo ....,,kigingi kingine ni kujenga Imani kwa watumishi wa umma , hasa waandamizi ,Mfumo wa sheria hasa Majaji ,Mfumo wa ulinzi na usalama ...hasa mkuu wa majeshi na majenerali waandamizi ,Igp na makamishna waandamizi ..makamishna wengine wa Magereza ,uhamiaji ,etc ...mkurugenzi wa usalama wa TAIFA na maafisa waandamizi ...ndio maana mnaona Hilo nalo chadema wanaliongelea ..Huu ni ukomavu kwa kuwa hotuba za Miaka ya Nyuma zilikua za kiharakati ..hasa dhidi ya Mfumo .....Huu ni ukomavu ...huwezi kupewa dola hata ukishinda bila Mfumo kukuamini Hilo hata Mwalimu alimuambia Mrema .....alimuuliza uko na Akina Nani ?

Naona chadema kwenye negotiations walioverlook power za Mtu mmoja Josephine Mushumbusi ....Huyo ni zaidi ya Salma Kikwete in the making

Mkuu tafadhali ongeza nyama zaidi hapa.Unaonekana Una taarifa muhimu kuhusu huyu Josephine.
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia hivyo jamani toka magazetini.

Chanzo: Raia Tanzania

My take: Hii itakua pigo kubwa kwa wapenda mabadiliko. Dk we ni mtumishi wa Mungu umejifunza kusamehe 7 mara 70.
Subiri leo saa tano kwenye kutoa form ya uraisi halafu uje tena humu
 
Mhariri wa magazeti haya c Absalum KIBANDA c tumuulize jameni wanakuwa na audio hawa wandishi
 
Back
Top Bottom