Dk. Slaa ahitimisha ziara siku 22; Serikali ya Kikwete ikomeshe 'ukaburu' wanaofanyiwa raia

Status
Not open for further replies.
Baada ya kugundua kuwa vijana wale ni wa CCM, je mmedhamiria kukichukulia hatua gani za kisheria chama hicho? Msipochukua hatua yoyote tutawashangaa sana
attachment.php
 
Mkuu hapo kwenye red, pamekaa vizuri sana !

Baada ya kumaliza kazi ya maana tutaangalia kama kuna upuuzi wenu wowote usiotakiwa kupuuzwa, kisha mtapewa facts. Kama ilivyo kawaida ya CHADEMA. Maana kuna upuuzi wa kupuuzwa na mwingine hauwezi kupuuzwa. Tunawashukuru kwa kufuatilia. Mtufikishie ujumbe huko waliko.
 
Kweli Dr.W.Slaa kaamua kumsahau mola wake,,

So,anasema akichukua nchi atahalalisha GONGO??

Dhambi ya usaliti na uasi ni mbaya sana
 
Last edited by a moderator:
Ila naona hata hivyo shazi au nyomi la zitto ni moto wa kuotea mbali...

SASA SI WAKAE NAE TUH WAZUNGUMZE WAYAMALIZE??WAJENGE CHAMA??

Hakuna kumbembeleza kwa sababu wanaCCM walihudhuria mikutano yake kama aanataka kurudi kundini basi ionyeshe hivyo kwenye majibu yake vingnevyo out mtu anayeishi kwa fedha za CCM na TISS halafu anataka kuturudisha miaka 20 nyuma hafai kwanza kasema hataki kurudi ila atapigania uanachama wake,mwache aupiganie
 
Mbona zile picha za Dr Slaa kupopolewa na mawe na zile za mabango ya kumpinga hamjaziweka?

Team buku 7, huyu ni katibu wa chama ambacho hata hakijawahi kukamata dola hebu tupe taarifa za katibu wenu nyie WATAWALA kwa sababu naona mnajisahaulisha kimakusudi au kaziya TEMBO imewabana
 
Kazi nzuri kabisa Katibu Mkuu wetu. Nimekuwa na matumaini kuwa ukombozi u karibu kabisa baada ya kuangalia hizi picha. Sikuona Fuso lolote likibeba watu wala pilau haikuwepo. Moto Motooo moto motooo choma mafisadi :happy:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom