Dk. Slaa ahitimisha ziara siku 22; Serikali ya Kikwete ikomeshe 'ukaburu' wanaofanyiwa raia

Status
Not open for further replies.
attachment.php
 
Kigoma Kusini...hapa Uvinza

Slaa kuhutubia Uvinza 1..jpg


Slaa kuhutubia Uvinza 2..jpg


Mwenyekiti wa Kanda ya Magharibi, Shaaban Mambo

Shabaan Mambo.jpg

Kuondoka kuelekea Nguruka...

Slaa kuondoka Uvinza.jpg
 
Ukakamavu wa Dr. W.P Slaa niwakuigwa hauna mashaka kabisa awapo jukwaani hahitaji nguvu za giza.

attachment.php
 
Hakika Dr Slaa yupo ndani ya mioyo ya watanzania hasa kada ya chini, anaendelea kudhihilisha ukakamavu kwake ni jadi

attachment.php
 
hongera dr. Slaa kwa kazi nzuri ya kujenga chama. Wengine wanafanya mikutano ila sioni watu wakichukua kadi kama kwa dr wa ukweli
 
Asante Dr W.P. Slaa pamoja na uongozi wote wa chama kwa kazi nzuri ya ujenzi wa chama. Tutavuna kwa wakati tusipozimia moyo.

Kwakuwatia moyo, wana wa Israel walipoondoka Misri usiku ule walikuwa na furaha sana lakini gafla wakajikuta wamekutana na bahari ya Sham, nyuma yao waliwaona maadui wao waki wa fuatia kwa kasi wakiwa na magari ya vita na sila nzito nzito pembeni mwao kulikuwa na milima na hawakuwa na pakukimbilia. Je walifanya nini?


Musa kiongozi wao aliwaambia tulieni na msubiri mtauona mkono wa Mungu. Tunasoma katika Isaya 30:15 Kwa maana Bw Mungu, Mtakatifu wa Israel, asema hivi, kwakurudi na kustarehe mtaokolewa; nguvu zenu zitakuwa katika KUTULIA na KUTUMAINI....

Tumaini letu ni katika Mungu na tunaokolewa na nguvu za Mungu kwa IMANI!

The Egyptians you see them today you shall see them no more! This is a promise I make to you and is my contribution wakati huu... Naahidi kwa mara ya pili hapa JF I take this case personal na hakuna litakaloifanya chochote CHADEMA not because of anything ila kwasababu ya welfare ya watanzania......

In Jesus name have I declared this Amen!
 

kigoma mjini...watu waliitika kweli kweli kusikiliza chama chao kinasema nini juu ya masuala yanayowahusu...

View attachment 128572

View attachment 128573

View attachment 128574

dr.slaa alipokelewa kigoma mjini kwa heshima kubwa ya kiuongozi nina amini mapokezi yale hajawahi kupokelewa popote pale kwa heshima kubwa ya kiuongozi kama alivyopokelewa kigoma pamoja na vitisho vya waigizaji.

View attachment 128576




dr.slaa alipokelewa kigoma mjini kwa heshima kubwa ya kiuongozi nina amini mapokezi yale hajawahi kupokelewa popote pale kwa heshima kubwa ya kiuongozi kama alivyopokelewa kigoma pamoja na vitisho vya waigizaji.
 
Dr.slaa msafara wake ulikuwa sawa na msafara wa mkuu wa nchi vyombo vya usalama mkoani kigoma kwa mara ya kwanza walionyesha protocol ya hali ya juu kwa kiongozi wa upinzani hapa nchini,mkutano wa kigoma ulifurika na wananchi walio wengi walikuwa niwale wenye akili timamu na walionyesha utulivu wa hali ya juu kwa muda wote wa mkutano huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom