Elections 2010 Dk.shein amteua maalim seif kuwa makamu wa rais

rreporter2010

Member
Nov 7, 2010
34
1
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Maalim Seif amewahi kushika nyadhifa mbali mbali kabla ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa, katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Miongoni mwa nyadhifa hizo ni Waziri Kiongozi na Waziri wa Elimu, ambapo pia aliwahi kuwa Katibu wa Idara ya Mipango na Uchumi ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

Hakumteua bali amemthibitisha. Toka CCM na CUF walipofikia maridhiano ilijulikana mmoja atakuwa Rais na mwingine Makamu wa Kwanza wa Rais. CUF ingeshinda (kama haikushinda) Dr. Shein angethibitishwa kuwa Makamu.
 
Hivi Makamu wa rais si anatokanana mgombea mwenza?
sasa hili kwa Zanzibar lipoje?
 
Back
Top Bottom