Dk. Shein Afanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Hamad Rashid aula

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
536
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kwa Mujibu wa Uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kupitia nafasi zake 10.

Mhe Mohammed Aboud Mohammed CCM.

Mhe Balozi Ali Karume.CCM

Mhe Balozi Amani Salum Ali. CCM

Mhe Moulin Castico. - CCM

Mhe Hamad Rashid Mohammed ADC

Mhe Said Soud Said - AFP

Mhe Juma Ali Khatib - ADA-TADEA.

Uteuzi huo unaaza leo tarehe 5/4/2016.
 
kumbe na hii serkali ya kichina ina maigizo kama huku kwetu..
 
CCM hebu tumieni hata katiba yenu mtuteulie Makamu wa kwanza hakuna atakayeshangaa Sheria za dunia nzima mnazijua
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kwa Mujibu wa Uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kupitia nafasi zake 10.

Mhe Mohammed Aboud Mohammed CCM.

Mhe Balozi Ali Karume.CCM

Mhe Balozi Amani Salum Ali. CCM

Mhe Moulin Castico. - CCM

Mhe Hamad Rashid Mohammed ADC

Mhe Said Soud Said - AFP

Mhe Juma Ali Khatib - ADA-TADEA.

Uteuzi huo unaaza leo tarehe 5/4/2016.
Mmmmmmh na balozi karume tena jamani haya bana sie wangeni yetu macho tu
 
Sheni kweni Dokta kachagua yote majembe, I hope Zanzibar itasonga mbele hawa watu makini sana.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kwa Mujibu wa Uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kupitia nafasi zake 10.

Mhe Mohammed Aboud Mohammed CCM.

Mhe Balozi Ali Karume.CCM

Mhe Balozi Amani Salum Ali. CCM

Mhe Moulin Castico. - CCM

Mhe Hamad Rashid Mohammed ADC

Mhe Said Soud Said - AFP

Mhe Juma Ali Khatib - ADA-TADEA.

Uteuzi huo unaaza leo tarehe 5/4/2016.

Hongera Mheshimiwa Rais, Dr. Shein, kwa uamuzi wa kuwateua wapinzani kuingia katika Baraza la Wawakilishi. Sasa ninashauri busara itumike kuteuwa mmoja wao ashike nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais. Hatua hiyo itasaidia kuzima uongo na ghiliba za Seif. Wengi tunafahamu kwa uongo na unafiki wake alimwondosha mzee Aboud Jumbe madarakani. Ni fisi mwenye uchu wa madaraka aliyejivika joho la utetezi wa watu ili afanikishe ubinafsi wake.
 
Familia ya Abeid Karume mpaka wajukuu ni matata sana!

Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu Zanzibar.

Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu Muungano.
 
Hivi yule Aboud Mohamed huw hawezi kushinda jimboni hata kwa uchaguzi huu wa chama kimoja (anatokea Pemba)....yeye anasubiri zile za mdondo za vitu maalum tu! Haya ale ni zamu yao always !!Kila la kheri
 
Back
Top Bottom