Dk. Salim, Prof. Shivji wawaamsha wasomi

Tuache kukwepa majukumu na kutamfuta chawi wetu, wote tunahusika kuijenga ama kuiangusha TZ. Wote hapa ni wasomi na usomi wetu utakua na maana zaidi pale utaposaidia kujenga jamii yetu na si matumbo yetu tu. Kigezo basic cha 'usomi'ambacho ni muhimu kwetu ni kua na elimu ya kusoma na uelewa wa kukabiri mazingira yetu kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Na hao kina Salim and Shivji waache kujikosha kwa ubinafsi na uharamia wao. Kwani wao wako kundi gani kama si wasomi. Wamekua kwenye system toka uhuru na ndio waliojenga hii system iliyopo ama kwa kupigia kura ama kupigiwa kura na hivyo huu ubovu wangekua wao ndio wa kwanza kuupinga. Salim ndo asiseme kabisa maana yeye ni asilia. Wameshasahau kuwa vizazi vyao vitaendelea kuwepo TZ ama ni yale yale ya kujali matumbo yao tu. UBINAFSI WAO UNATISHA. In fact UBINAFSI ndio general disease ya viongozi toka CCM (tumeijua toka Uhuru) mpaka hawajui waajibu wao kwa raia.
 
Good to hear these quotes:

Mkandara wrote:
Kitu kimoja tu ambacho kimenichosha na mawazo ya hawa wazee wetu waliposema wasomi wana haki ya kuhoji hii mikataba kwani wao wapo fungu gani? kwa nini wao wasiwe mstari wa mbele kuongoza mapambano haya ama ndio wameshavua majukumu haya. Hivi kweli Salim na Shivji wakisimama na kuanzisha vagi kuna mtu ataweza kusimama kupinga hoja zao?....

Field Marshall ES wrote;
However, the ishu hapa sio kuwasukumia wasomi kuwa ndio chanzo cha matatizo yetu bongo, ya bongo ni matatizo yetu wote wananchi wa Tanzania na yeye pia Salim, akiwa mmojawapo, lawama ni yetu wote tusianze kutafutana uchawi, mbele ya Mungu we are all guilty kwa sababu ni sisi wenyewe tunaowachagua viongozi wetu kuanzia upinzani na CCM, they are all responsible for this national misery of ours, na ni sisi wananchi ndio tunaowachagua, na Salim included, FULL STOP!

Yeye Salim, pia ni msomi sasa kwa nini asiwaulize alipokuwa kwenye kikao cha CCM, majuzi Dodoma?

Tom wrote;
Na hao kina Salim and Shivji waache kujikosha kwa ubinafsi na uharamia wao. Kwani wao wako kundi gani kama si wasomi. Wamekua kwenye system toka uhuru na ndio waliojenga hii system iliyopo ama kwa kupigia kura ama kupigiwa kura na hivyo huu ubovu wangekua wao ndio wa kwanza kuupinga. Salim ndo asiseme kabisa maana yeye ni asilia. Wameshasahau kuwa vizazi vyao vitaendelea kuwepo TZ ama ni yale yale ya kujali matumbo yao tu. UBINAFSI WAO UNATISHA. In fact UBINAFSI ndio general disease ya viongozi toka CCM (tumeijua toka Uhuru) mpaka hawajui waajibu wao kwa raia.
 
Tuache kukwepa majukumu na kutamfuta chawi wetu, wote tunahusika kuijenga ama kuiangusha TZ. Wote hapa ni wasomi na usomi wetu utakua na maana zaidi pale utaposaidia kujenga jamii yetu na si matumbo yetu tu. Kigezo basic cha 'usomi'ambacho ni muhimu kwetu ni kua na elimu ya kusoma na uelewa wa kukabiri mazingira yetu kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Na hao kina Salim and Shivji waache kujikosha kwa ubinafsi na uharamia wao. Kwani wao wako kundi gani kama si wasomi. Wamekua kwenye system toka uhuru na ndio waliojenga hii system iliyopo ama kwa kupigia kura ama kupigiwa kura na hivyo huu ubovu wangekua wao ndio wa kwanza kuupinga. Salim ndo asiseme kabisa maana yeye ni asilia. Wameshasahau kuwa vizazi vyao vitaendelea kuwepo TZ ama ni yale yale ya kujali matumbo yao tu. UBINAFSI WAO UNATISHA. In fact UBINAFSI ndio general disease ya viongozi toka CCM (tumeijua toka Uhuru) mpaka hawajui waajibu wao kwa raia.

Tom:

Chukua tano. Wanawataka wasomi wa leo kuhoji viongozi. Navyoelewa mimi GUTS za kuhoji ni utamaduni uliojengwa kwa miaka mrefu. Kizazi cha sasa hakiwezi kukurupuka tu na kuanza kuhoji wakati utamaduni wa kufanya hivyo ulikuwa haupo.

Kwa mfano enzi za zamani ambazo Salim anasema nchi za kiafrika zilikuwa zina ubavu, migomo kwa wanafunzi, migomo kwa wafanyakazi, kuigomea serikali ilikuwa marufuku. Nidhamu ya woga imejengwa kwa kipindi cha miaka mingi.
 
I guess it is right to hold Dk. Salim and Prof. Shivji to the same standard they are setting for the rest of the intellectuals.

On the other hand I wanted to recognize their clear message, which in itself is questioning.They started by using their gravita to bless the debate instead of issuing some wishy washy comments, lets not lose sight of that.
 
Dk. Salim ni msomi nandio Dk huyo. Kama mnakumbuka alikuwa bado ni kijana na sio viongozi wengi nyakati hizo walikuwa wamesoma kama yeye. Ili kuona haingii kwenye siasa alichaguliwa balozi akiwa na umri mdogo I still think he holds the record of being the youngest Ambassador ever from Tanzania, correct me if I am wrong, na hii ilimtoa kwenye ulingo wa siasa!

Dk. Salim amelitumikia Taifa letu na bara letu kwa standard ya hali ya juu ni Kiongozi. Sharti kiongozi kuongoza...maongozo aliyoyatoa ni changamoto kwa wasomi wa sasa vijana. Sidhani kama alikuwa na ubavu kuwahoji wakubwa zake(wa umri) wakati huo pamoja na yeye kuwa msomi kwa sababu nyingine tofauti kama vile culture yetu lakini sasa hii inabidi ifanyike kwani sio ukarimu, siasa, nasaa za uzee ndizo pekee za kuleta maendeleo, bali miundombinu (soma Elimu).

Bila kuelewa siasa za ndani ya CCM, siasa za viongozi wa serikali za nyakati hizo ni vigumu kusema bayana kwanini alishindwa kuwahoji viongozi wake ila kwa kuwa sasa siasa za nchi, siasa za vyama, na siasa za viongozi ziko uwani. Kuhoji muhimu!

Nafikiri wengi tutakubaliana DK Salim na Prof Shivji sio wanasiasa bali ni Viongozi, wasomi!

Kwa kweli wasomi wachukulie hili kama siasa mbadala na iwe changamoto ya kweli.
 
Tom:

Chukua tano. Wanawataka wasomi wa leo kuhoji viongozi. Navyoelewa mimi GUTS za kuhoji ni utamaduni uliojengwa kwa miaka mrefu. Kizazi cha sasa hakiwezi kukurupuka tu na kuanza kuhoji wakati utamaduni wa kufanya hivyo ulikuwa haupo.

Contradictory but...

Kwa mfano enzi za zamani ambazo Salim anasema nchi za kiafrika zilikuwa zina ubavu, migomo kwa wanafunzi, migomo kwa wafanyakazi, kuigomea serikali ilikuwa marufuku. Nidhamu ya woga imejengwa kwa kipindi cha miaka mingi.

Niko nawe lakini uwanja wa siasa umebadilika. Yote uliyoyasema ni sawa Utamaduni, nidhamu ya woga,na mii ntaongeza- Ukiwa msomi kupindukia(masters kwa nyakati zao) ulikuwa huwezi kupumua vizuri sasa ni tofauti. Kurupuka tu mradi unaeleweka. Mimi nakusii kama wewe ni msomi uchukulie wito huo na kujiongezea GUTS kwani wao hakufundishwa kuwa na GUTS.
 
Back
Top Bottom