Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
Maigizo yana mwisho..nao umeanza
Masikini watanzania inaonyesha jinsi gani tulivyo kuwa na uwezo mdogo wa kupambanua mambo na kuelewa uzuri au ubaya wa mtu..tumekuwa tunategemea uvumishi kuliko ukweli na uhalisia
Walisema nabii hathaminiki kwao, watu wanadandia tu train kisa anajua kurukiaMengi ni mnafiki. Alishawahi sababisha waziri akaondolewa kwenye nafasi yake kisa aligoma kumpatia mengi tax exemption. Muhongo yupo sahihi yeye alichowaambia kama una hela njoo. Sema nyie wengi ni malofa hamjui, na Muhongo ndiye atatunyoshea njia.
Prof Muhongo aliwahi kusema tena kwwnye mdahalo chuo kikuu kuwa katika makampuni ya uchimbaji madini 7 ni ya wazawa na 3 ni ya wageni. haya makampuni 3 ya wageni yamelipa kodi mara dufu ya yale makampuni ya wazawa. hii ina maanisha nini? ?? si uhuni huu tunafanyiana wenyewe?? wafanya biashara haohao ndio wanaongoza kutoa makontena bandarini bila kulipia kodi. ushenz mtupu. msitudanganye na kiaingizio cha uzalendo hapa. kama hulipi kodi unakwepa wewe ni kama kaburuu tuu. unafaa kukamatwa na kufungwa, lakini sio eti kurudi na kulipa kwa kujifanya ulisahau kulipa. ni wizi tuu
Mengi kila siku ni kulialia tuu, hana hela, anataka awe Mido, sasa hiyo kila mtu anaweza, yaani udalali aka ushenga.mkuu kila nchi kubwa duniani mpaka ukija Nigeria na sa utakuta chumi zao sehemu kubwa zimekuzwa na sekta binafsi ya wafanya biashara wazalendo wenye makampuni na viwanda.
wazawa ndio wana uchungu WA kuwekeza nchini kwao, angalia Dr.mengi,mafuruki nk,wakati wazungu uwezekano mkubwa ni wakimaliza kuvuna wanarudi kwao.
Hivi Mengi hajui kama vitalu vya gesi vinamilikiwa 100% na Watanzania na hao wageni wanapewa leseni tu za exploration na itapopatikana gas 65% ni mali ya Watanzania na wawekezaji ni 35% tu.
Kama hayajui hayo basi ni mburula wa kutupwa na kama anayajuwa hayo basi ni mpotoshaji wa hali ya juu.
Wewe mdini ni mtanzania yupi anaemiliki vitalu vya gesi wakati ktk maelezo ya mengi amesema muhongo anasema hakuna mtanzani mwenye uwezo wakumiliki vitalu vya gesi kwa kejeli na dharau muhongo kasema vimitaji vyao nivyakuuzia maji na juice tu sasa kama muhongo hajui maswala ya biashara na anafanya kupitiaga tu kwenye makaratasi anawezaje kushindana na mfanyabiashara?wewe pambana na udini biashara waachie wenyewe k......
Usiangaike naye huyo tunamjua siku nyingi
Mzee Mengi acha kubishana na kichaa, huyo Sospeter Muhongo amewehuka na tamaa za kukutana na hela nyingi uzeeni za rushwa ya vitalu vya gesi. Sospeter Muhongo hana consistence yoyote kwenye kauli zake, anarukaruka kama Mbulumundu, leo kaongea hiki na kesho kaongea hiki. Sijui Kikwete huwa anashauriwa na nani wakati anaokoteza watu kama Prof Muhongo. Ni wazi kuwa wasomi wa nchi hii ndio chanzo cha umaskini wa kutupwa wa taifa letu. Ukiwa na maprofesa 10 kama Muhongo kwenye serikali nchi haiwezi KUTAWALIKA. Muhongo ni hatari kwa usalama wa Taifa.