Dk Philip Mpango: Leo nimefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein

Hiki cheo sijui kina nini? Hata uwe mchapa kazi kweli kweli ukikipata unakuwa upo upo tu!
Hiki Cheo ndivo kinapaswa kuwa kwa mfumo wa nchi yetu.Unasubiri mwenzako afe ili uendelee alipokwama na kuanza kumnanga
 
Hicho cheo ni ceremonial, na wajibu wake mkuu ni 'kumsaidia rais' ktk shughuli zake. Rais akifanya shughuli zake mwenyewe basi makamu anakuwa yupo yupo tu. Kwa hiyo hatuwezi kumlaumu Dr Mpango. Tunamjua ni mchapakazi mzuri kwa kazi aliyofanya akiwa waziri wa fedha.
Ceremonial! Mbona huyu alitokea huko bila kura unakosema ceremonial.
 
Kumbe hawana makazi Dodoma, hawa ndo wanapingana na adhma ya kupafanya Dodoma kuwa makao makuu........daily wapo Dar, shida ni nini hasa.
 
Kumbe hawana makazi Dodoma, hawa ndo wanapingana na adhma ya kupafanya Dodoma kuwa makao makuu........daily wapo Dar, shida ni nini hasa.
Fuatilia kwa undani ndio uje ulete critiscism
 
Back
Top Bottom