Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama Slaa ni mzushi basi wewe ni nunda.
Maneno yako yanaweza kuwa ya ukweli, kama wewe ulivyompaka matope mzee wa watu Malecela mpaka pale Dodoma akaingilia mlango wa uwani wewe na manunda wenzako mkimuimbia nyimbo za kejeli basi na wewe sasa unajipata matope mwenyewe kuwa ni nunda wa kutupwa achilia mbali hiyo digrii yako ya kuokota. Mshenzi we.Wakati huo huo, Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Emmanuel Nchimbi, amemtaka Mbunge wa Karatu (CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa, na viongozi wengine wa upinzani kuacha kuipaka matope serikali, kwa kuwa mwisho wake watajipaka wenyewe.
Kama bajeti ni nzuri sasa mnangojea nini kutekeleza yaliyomo humo ndani ya bajeti? Hivi kama mkipita na kuwaambia wananchi bajeti nzuri how is going to help them kama hakuna utekelezaji. Nunda we.Nchimbi, alitoa kauli hiyo jana mjini Monduli wakati akizungumza na watendaji wa halmashauri, madiwani na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa ndani akiwafafanulia kuhusu uzuri wa bajeti ya mwaka huu na mikakati ya kusimamia utekelezaji wake.
Watch your words, it is just the matter of time kabla hatujaingia full time na kuwaondoa madarakani. Time is running you better clean your house, guys.Alisema wapinzani wataendelea kupiga kelele huku serikali ikipata mafanikio kwa kasi na ifikapo mwaka 2010 wataona aibu kwa kukosa hoja za kuombea kura.
Hapa ndiyo umeonyesha ununda wako. Uliposema Bunge la Congress ulikuwa unamanaisha nini? Bunge na Congress ni vitu viwili tofauti my friend. Kwa kuwa umeambiwa kuwa vyombo kazi zake ni u-make laws basi ni vitu sawa. Bunge na Congress ni Legislative Branches za serikali. Kuna serikali nyingine zinafuata parliamentary systems kama sisi na hatuwezi kuwa na vyote na nyiingine congressional system. Congress imegawanyika katika sehemu mbili Senate na House of representative. Senate ina president ambaye kwa US ni vice president na House inaongozwa na speaker na wajumbe wake wanapatikana kutoka congressional districts. Nunda we do your home work. Najua mkutano ulikuwa closed door lakini tumepata pumba zako.Nawaambia mzushi yeyote katika nchi hii hivi sasa anaitwa Slaa na nimesoma katika gazeti moja la kila siku anadai eti anakwenda Marekani kueleza ufisadi wa serikali, ili nchi inyimwe misaada wakati hajui hata njia ya kuelekea katika Bunge la Congres, alisema naibu waziri huyo kijana.
WOW!.. Kwa hiyo rais akiwa Ikulu analinda njiwa.. Holy Satan help this guy.Alisema wapinzani wamekuwa wakilalamika kuhusu ziara za rais nje ya nchi ambazo zinatoa mafanikio kwa nchi wakitaka abaki ikulu kulinda njiwa, ili nchi isipate maendeleo na wapinzani wapate hoja za kuzungumza wakati wa uchaguzi.
Please don't kill him.Wapinzani hivi sasa wanaingiwa kiwewe kuona kasi ya maendeleo ya elimu na ujenzi wa barabara, hivyo wanaanza kuwapaka matope viongozi bila sababu yoyote lakini mwisho wa wao umefika na mzushi Slaa atabainika, alisema.
Tumieni vizuri hiyo ridhaa ya wananchi wanaweza kuichukua muda wowote. Njoo kijiwe chako cha zamani kupata uwaziri mdogo ndiyo ukatukimbia kabisa. Tutaendelea kumkoma nyani giladi mchana kweupee. Ng'ombe we. Peace.Alisema, wao kama mawaziri wataendelea kuzunguka nchi nzima kuongelea masuala ya bajeti na mbinu za maendeleo bila woga kwani tayari wanayo ridhaa ya wananchi kutekeleza waliyotumwa.