Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

iWanabodi. naomba kumpongeza Dr. Mwele. She deserves to be what she is. Nimesoma class moja na some Malechelas primary nimesoma na Mwendwa, Catty na Ippy (both RIP). Tambaza na Senyagwa (RIP) na Mwele. Japo wanatoka jina kubwa, wote ni down to earth na wamefika walipofika kwa merit sio kwa jina.
Wana JF, lazima tufike mahali tuyakubali mafanikio ya wenzetu regardless ya majina yao othewise tutaonekana haters!.
 
iWanabodi. naomba kujitokeza kumpongeza Dr. Mwele Malecela kwa appointment ya Nimri. She deserves to be what she is. Nimesoma class moja na some Malechelas primary nimesoma na Mwendwa, Catty na Ippy (both RIP). Tambaza na Senyagwa (RIP) na Mwele. Japo wanatoka jina kubwa, wote ni down to earth na wamefika walipofika kwa merit sio kwa jina.

- Lahaula Pumba iinapozaa hoja! ha! ha! ha! ha! ha! bwa! ha!ha!

FMEs!
nilifundishwa kuhusu outliers... i guess you know what i mean, you deffo one of them outliers

Eniwei... dadako anadeserve cheo kile

all those who talk about yeye siyo daktari, they would rather change that rule, and those who say she hasnt published much they need to remember that being a DG is beyond publishing, the position entails

  1. personality
  2. education
  3. acceptance
  4. inborn talents
  5. integrity
  6. pressure or suggestions from donors
  7. readiness
  8. technical abilities
  9. exposure and networking
  10. experience with the organization/position... etc

Mwele has qualities and lets help her to deliver, personally i have worked with her and we facilitated one session three years ago, she is very good

Tumsaidie NIMR ipate heshima yake na uswahili upungue pale, jamaa walikua wanachakachua proposal za watu, wawe basi kama ifakara
 
I don't know the women, but the CV stands. Unless kama kuna vigezo fulani hana then tunaweza kudebate kuanzia hapo. Other than that anaonekana kuwa kwenye hiyo community kwa muda na ana uelewo.

Swali langu linalenga kwenye swala zima la kutokomeza magonjwa kadhaa, naona kuna video clip anazungumzia by 2020 kuna baadhi ya magonjwa yatakuwa yamepotea. I hope 2015 atakuja kutuambia progress.
 
icon1.png
Re: Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

nilifundishwa kuhusu outliers... i guess you know what i mean, you deffo one of them outliers

-?????????????????????????
 
iWanabodi. naomba kumpongeza Dr. Mwele. She deserves to be what she is. Nimesoma class moja na some Malechelas primary nimesoma na Mwendwa, Catty na Ippy (both RIP). Tambaza na Senyagwa (RIP) na Mwele. Japo wanatoka jina kubwa, wote ni down to earth na wamefika walipofika kwa merit sio kwa jina.
Wana JF, lazima tufike mahali tuyakubali mafanikio ya wenzetu regardless ya majina yao othewise tutaonekana haters!.

- Pasco umesomeka na kueleweka sana, ubarikiwe bro!

FMes!
 
Credit should be given where it deserves.. Dr Mwele is capable and qualified for the job, the fact that she also happens to be Mr Malecela's daughter, doesn't mean she was given the post, its just that this place is full of hatred and cynicsm(sp) even to things we are sure of...

Very interesting indeed. We are slowly witnessing the remaking of that class, we are slowly moving to that Kingdom. It will not be a surprise to see Makambas, Malecelas, Mwinyis, Wariobas, Msekwas, Mwapachus, to be ministers again. The question is are we made to be ruled by certain dynasties.

Kuna wakati fulani mtu unakuwa guilty hata kabla ya kwenda mahakamani, kutokana na makosa aliyofanya baba yako. That is what Mwenda is facing. She might be competent and she might have been appointed on the basis of merit. But look at who appointed her, time at which she is appointed, and whethers there is no one from out of the dynasty who has qualification than mwenda.

Sijui uwezo wake, wala silalamikii uteuzi wake, lakini ukiangalia mazingira yanayozunguka jina la Malecela, inaweza kuwa kama appeasement policy.
 
Very interesting indeed. We are slowly witnessing the remaking of that class, we are slowly moving to that Kingdom. It will not be a surprise to see Makambas, Malecelas, Mwinyis, Wariobas, Msekwas, Mwapachus, to be ministers again. The question is are we made to be ruled by certain dynasties.

Kuna wakati fulani mtu unakuwa guilty hata kabla ya kwenda mahakamani, kutokana na makosa aliyofanya baba yako. That is what Mwenda is facing. She might be competent and she might have been appointed on the basis of merit. But look at who appointed her, time at which she is appointed, and whethers there is no one from out of the dynasty who has qualification than mwenda.

Sijui uwezo wake, wala silalamikii uteuzi wake
, lakini ukiangalia mazingira yanayozunguka jina la Malecela, inaweza kuwa kama appeasement policy.

- Very interesting, unasema husemi lakini unasema, husemi solution ambayo kama ninakuelewa vizuri argument yako, Tanzania tunahitaji mataifa mawili moja la waongozwa na lingine la waongoza, tuwe na sheria mbili moja ya waongozwa na nyingine ya waongoza,

- Unasema hujui uwezo wake na wala hulalamikiii uteuzi wake, lakini toka mwanzo umeanza na hukumu halafu in the end unasema huna facts za hukumu zako wewe mwenyewe kwa sababu hujui uwezo wake!

- Inachanganya sana bro!

William.
 
Back
Top Bottom