Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

Ufuatao ni uthibitisho tosha kuwa Mwele ni kichwa and she is highly qualified for this post. I share your concerns kuwa serikalini vyeo vinatolewa ki-ndugu, kwa watoto wa wakubwa, na kila aina ya upendeleo. Ila mkisoma profile yake ifuatayo, nadhani mtakubali huyu mama ni kichwa:


Mwele Malecela, MSc, PhD


Dr. Mwele Malecela is a Chief Research Scientist and Director of Research Coordination and Promotion on the National Institute for Medical Research, Tanzania. She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. She holds a BsC in Zoology from the University of Dar-es-Salaam, and an MSc and PhD in Parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine.) Her area of specialization was filarial immunology specifically on filarial immune evasion mechanisms.

Mwele has worked at the National Institute for Medical Research for 21 years, mainly in the field of Lymphatic Filariasis immuno-epidemiology, and has also worked in the areas of Health Systems and Policy Research. As Director of Research at NIMR, Mwele’s focus is now mainly research capacity building and the translation of research into action, policy and practice. She has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.

In her role as Director of the National Lymphatic Filariasis Elimination Program, she brings her long research experience to efforts to eliminate filariasis, and she has run the national program since its inception in 2000. She is well known for her role in advocacy campaigns that have brought to light the real extent of the problem in Tanzania. Mwele is also well known for her efforts in ensuring that the LF program has a strong operation research component and has published extensively in this area.

Mwele has served on a number of international committees including The Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee, and the advisory board of the Initiative on Public-Private Partnerships in Health (IPPPH). She sits on the board of the Aga Kahn Hospital and the International Medical and Technological University, both based in Dar-es-Salaam, Tanzania; and is an adjunct faculty member for the Public Health Sciences Institute of Morehouse College, Atlanta, Georgia, USA.

Source: The Floating Clinic


Dr Mwele Ntuli Malecela

Dr Mwele Ntuli Malecela is Chief Research Scientist, acting Director General and Director of Research Coordination and Promotion of the National Institute for Medical Research, the United Republic of Tanzania.

She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Programmme. She worked for 23 years at the National Institute for Medical Research in the field of lymphatic filariasis immuno-epidemiology and has run successful programmes for LF patients.

Dr Malecela has several publications in peer reviewed journals.

Source: WHO | Dr Mwele Ntuli Malecela

Hii inajibu hofu za baadhi ya wana JF kusema eti si MD (mwenzio ana phD) au eti hajafanya research (yeye alikuwa Chief Research Scientist wa NIMR kabla ya promotion hii na amefanya research kibao).

NEED I SAY MORE?

nadhani jamaa alisema hana M.D kwa maana ya doctor of medicine, kwamba sio daktari..sijui bachelor yake ni ya nn..labda tungeona hiyo..nadhani hii masters na PhD yake iko ki entomology zaidi kitu ambacho hata mtu wa public health au environmental health anaweza kusomea....labda nahitaji maelezo zaidi....
 
Tatizo la utafiti hatujui hata wanafanya nini....................na wamekuwa na madai mseto ya kuongezewa fungu.........sina uhakika hata kama wakiongezewa fungu wataboresha chochote ukizingatia viongozi tulionao.......ambao wengi wao ni bora liende.......................

so nadhani umeona tatizo hapa kaka, kwamba sio maresearchers ndo tatizo ila suala la viongozi tulionao na ndo ambao tunawachagua wote mimi na wewe na ndo ambao wana influence kila kitu..so usikimbilie kutulaumu sana mkubwa..
 
Huyu mama ametumia vibaya fedha za miradi aliyokuwa anaratibu hasa ule wa mabusha; katibu mkuu wa wizara ya afya alipokuwa anathibiti hali hiyo yeye akakimbilia kupika majungu kuwa anafuatwa fuatwa kwa kuwa baba yake ni tinga tinga! Ukweli ni kwamba sio muadilifu na mtamlaumu Blandina Nyoni bure kwa kutimiza wajibu wake kwa nchi yake!! Kaza buti mama Nyoni wasikutishe na ubabaishaji wao.

- Katibu Mkuu wa Wizara ndiye anayependekeza nani awe promoted kwenye mashirika yote yaliyoko chini ya wizara yake, kwa hiyo ni Katibu Mkuu wa wizara ya Afya ndiye aliyependekeza kwa Rais hii promotion na imefanyika, tufike mahali tujadili ishus muhimu za taifa letu bila kuhangaika na majina,

- I mean tizama usipotumia majina na name calling inavyo-make a lot of sense as opposed na ukitumia majina, a very important ishu ya taifa inashuka to the level ya kimtaaani taani! badala ya Great Thinking!


William.
 
Enyi Majuha msio mjua Mwele mkae kimya! She is splendid Tanzanian lady with intelectual ability nimefanya naye kazi in professional level for the past 4 years! Shes sweet kwa kazi hata Nov nilikuwa naye Atlanta! Enyi wajungu mpongezeni Kikwete ! Pole Mboera Dr , endelea na ushirikina. We need a transformation in NIMR
DUH.... hii kali!!
 
Nchi hii bwana!!!! Ukiwa mtoto wa mkubwa basi hutakiwi kupata kazi nzuri, kupandishwa cheo, ubunge na uwaziri ndo aaaaaaaa. Somesheni watoto wenu na nyie ili waje kupata vyeo sio mnabaki kusimanga watoto wa wakubwa. Sioni kwanini watu wana urgue Mwele kupewa nafasi ya DG. Mwele has been with the institute for almost 30 years, very well educated in the field, long experience in different capacities. N apia position ya Acting DG amekaa miaka kama mitatu tangu Dr Kitua astaafu. Kitu ambacho ningependa tu urgue strongly ni ufanisi wa NIMR.
Its a good sign kwamba tuna very poor recruitment process
 

- Mkuu pamoja sana hapa, CV imeshiba wala haina mikwaruzo halafu huyu Dr. Mwele, ni mtu wa kawaida sana kule Atlanta CDC kwenye utafiiti wa kweli, yeye huenda kule kufundisha darasa la wazungu, halafu tena hufundisha haya mambo hata huko New York State, kwenye University moja Albany, duh! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, hiki ni PURE KICHWAA! HA! HA! yaani wee aaacha tu!


FMEs!
LOL... mchemfu kapata presha cooker

Mwele is good, very very good and she is good for the position ila hizo pumba ulizoandika kwenye red mie hoi

Kumbuka hata kilongola alifundisha wazungu
 
- Katibu Mkuu wa Wizara ndiye anayependekeza nani awe promoted kwenye mashirika yote yaliyoko chini ya wizara yake, kwa hiyo ni Katibu Mkuu wa wizara ya Afya ndiye aliyependekeza kwa Rais hii promotion na imefanyika, tufike mahali tujadili ishus muhimu za taifa letu bila kuhangaika na majina,

- I mean tizama usipotumia majina na name calling inavyo-make a lot of sense as opposed na ukitumia majina, a very important ishu ya taifa inashuka to the level ya kimtaaani taani! badala ya Great Thinking!


William.

Asannte kwa hilo.

Okay okay people get your facts right about the presidential appointees. Msiomuonee Kikwete kuwa ana udini, ukabila umtandao etc kwenye kila appointment anazofanya. Pia lawaza zingine za udini and the sort mzipeleke huko jikoni yanapopikwa majina.
 
Pengine utakua unakaribia sana kwenye ukweli mzee katika hili. Lakini, kwangu mimi kama MLAJI WA MWISHO wa tafiti mbali mbali wanazozifanya hawa wasomi ma-PhD hawa, hata kidogo tusilumbane VYEO walivyowahi kuvishika au watakavyovishika, wala tusipoteze muda kwenye PRESTEGIOUS UNIVERSITY walikowahi kusoma bali wewe niwekee reliable data hapa kuhusu yafuatayo na nita-Withdraw statement bila shida:

1) Katika kipindi cha miaka 21 akiwa NIMRI, IMPACT ya tafiti zao zikoje ukiziakisi na Trend ya Infant Mortality Rate nchini mwetu kutokana na magonjwa yanayozuilika nchini kutokana na Malaria???

2) Oanisha pia mafanikio ya tafiti za NIMRI katika kipindi hicho hicho na ongezeko la TB nchini

3) Kwa uteuzi huo sasa inamaanisha kwamba MTAFITI NAMBA MOJA Tanzania kwa masuala ya uganga na tiba ni Ndg Malecela Jr na wala halina ubishi. Je, anazo tafiti ngapi na machapisho mengineo hapo katika kipindi hicho hicho??

4) Sheria inayoianzisha NIMRI inamtaka DG kwanza awe na degree katika medicine (MD ambayo huku mtaani tunaitafsiri kama Dr) na wala si udokta wa PhD tu katika mambo mengine tu ya pembeni. Je, huyu mwenzetu kwenye profile yake pale SIJAONA NI LINI HASA NA WAPI kahitimu sifa hiyo iliyotajwa kisheria.

Sasa inamaana uteuzi huu umezingatia misingi ya sheria au kumpooza Mzee Katapila moyo baada ya kuchakachuliwa ubunge Mtera??? Usije ukawa ni kama wale wanaotetemekea CV na hata koiajiri CV ukaacha watu walioweza kuleta mguso na tija wa hali ya juu pembeni.

Ila, kama mwana mama kutakiwa kuinuliwa ni sharti misingi iliowekwa kwanza kufuatwa. Tuache mi-Short Cuts katika mambo ya taaluma ndugu kwani walioingiza vigezo hivyo naamini kwamba hawakua vichaa.

Naomba niachie kwa hapo tu kwanza.

Kama Sheria iliyoanzisha NIMR inasema kuwa DG lazima awe MD (angalia maandishi mekundu juu) basi Kikwete amekiuka sheria, period. Na aliyeteuliwa, kama si MD (Mwele Malecela si MD) basi hastahili kushika nafasi hiyo.

Sheria ni msumeno, inatakiwa ifuatwe.
Hivi hakuna mechanism yoyote ya kumbana Rais anapokiuka sheria?
Viongozi wanakera sana wanapofanya maamuzi yanayokiuka sheria, na hata wakiambiwa wanajifanya mabubu.
 
[SIZE=3[SIZE=4]]Kama Sheria iliyoanzisha NIMR inasema kuwa DG lazima awe MD[/SIZE] (angalia maandishi mekundu juu) basi Kikwete amekiuka sheria, period. Na aliyeteuliwa, kama si MD (Mwele Malecela si MD) basi hastahili kushika nafasi hiyo.[/SIZE]

Sheria ni msumeno, inatakiwa ifuatwe.
Hivi hakuna mechanism yoyote ya kumbana Rais anapokiuka sheria?
Viongozi wanakera sana wanapofanya maamuzi yanayokiuka sheria, na hata wakiambiwa wanajifanya mabubu.

- Eti mkuu hiyo sheria ipo wapi hebu iwekeni hapa tuione, ina maana Katibu Mkuu wa Afya hajui kwamba hiyo sheria ipo?

William.
 
LOL... mchemfu kapata presha cooker

Mwele is good, very very good and she is good for the position ila hizo pumba ulizoandika kwenye red mie hoi

Kumbuka hata kilongola alifundisha wazungu

- Lahaula Pumba iinapozaa hoja! ha! ha! ha! ha! ha! bwa! ha!ha!


FMEs!
 


- Kwa maneno mengine hii ni pharmacy leo 2010, bado tuna safari ndefu sana hili taifa wote tunahitaji kusaidia kubadilisha haya mambo ya Stoneage!, badala ya kukalia malumbano yasiyo na tija kwa taifa!

William.
 
- Mkuu pamoja sana hapa, CV imeshiba wala haina mikwaruzo halafu huyu Dr. Mwele, ni mtu wa kawaida sana kule Atlanta CDC kwenye utafiiti wa kweli, yeye huenda kule kufundisha darasa la wazungu, halafu tena hufundisha haya mambo hata huko New York State, kwenye University moja Albany, duh! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, hiki ni PURE KICHWAA! HA! HA! yaani wee aaacha tu!

FMEs!

Mkulu hii entry yako imeshiba.

Kwanini nasema imeshiba? Ni kwamba sasa hivi kwenye nchi kama Marekani au Ulaya wanasumbuliwa sana na "tropical diseases".

Kwa hio wanahitaji lecturers na watafiti ambao wanatoka kwenye maeneo hayo ya matukio ukizingatia magonjwa kama malaria, kipindupindu na mengine ya ki-tropical kwa sasa yanahamishiwa na watalii ambao wanakuwa wamerudi makwao baada ya "holidays".

Ukisoma sehemu kama UCL kwenye kitengo chao cha Hygene &Tropical Diseases ", basi wewe uko mbali sana kwani hata kama upo Tanzania pia unawezwa kuwa unaalikwa kuwa visiting Lecturer au Doctor kwenye agenda muhimu.
 
Hii afadhali fikiria wale waliokutwa na dawa feki za sh. milion 800. Yaani we acha tu
 


- Kwa maneno mengine hii ni pharmacy leo 2010, bado tuna safari ndefu sana hili taifa wote tunahitaji kusaidia kubadilisha haya mambo ya Stoneage!, badala ya kukalia malumbano yasiyo na tija kwa taifa!

William.
Mkuu hili duka la dawa za kienyeji haziitajii kua na umeme au jengo zuri kwani ni bei powa lol.sasa hapo kijijini ukipeleka dawa za kisasa utamuuzia nani? labda ugawe bure manake wananchi hawajiwezi si unajua maisha yalivyokuwa magumu tanzania?
 


Mkuu hili duka la dawa za kienyeji haziitajii kua na umeme au jengo zuri kwani ni bei powa lol.sasa hapo kijijini ukipeleka dawa za kisasa utamuuzia nani? labda ugawe bure manake wananchi hawajiwezi si unajua maisha yalivyokuwa magumu tanzania?

- Mkuu heshima yako sana, tangazo linasema duka la dawa zingekua za kienyeji tangazo lingesema hivyo, halafu dawa za kienyeji haziuzwi hivi zinakuwa under control ya mganga mwenyewe,

- Hiyo pic ndio reality ya bongo, ninaamini huku ndani kuna some members wanaotokea kwenye hizi kind of pharmacy, I mean hivi kweli ukiwatumia dola 200 tu haziwezi kubadilisha hilo jengo la pharmacy likawa angalau better kuliko hivyo lilivyo!


William.
 
William unajitahidi kumtetea dada yako,fair enough!

Jaribu kutetea EPA,BoT Twin Towers,DOWANS ,BAE scandals na akina Vijisenti ,corrupt people like EL & RA.
Je do you think serikali ya Chama cha Baba yako ni corrupt au vipi!
 




-

-, I mean hivi kweli ukiwatumia dola 200 tu haziwezi kubadilisha hilo jengo la pharmacy likawa angalau better kuliko hivyo lilivyo!


William.

Jengo linaendana na hali halisi ya eneo ,haiwezekani ajenge duka la dawa zuri kuliko nyumba yake.Umaskini nchini kwetu ni mkubwa mno kuliko watu wanavyofikiria.

Dollar 200 hio mkuu bora uwanunulie dawa waongezee hapo dukani itasaidia sana kuliko kuboresha jengo.
 
William unajitahidi kumtetea dada yako,fair enough!

Jaribu kutetea EPA,BoT Twin Towers,DOWANS ,BAE scandals na akina Vijisenti ,corrupt people like EL & RA.
Je do you think serikali ya Chama cha Baba yako ni corrupt au vipi!

- CCM ni chama changu, vipi chama cha baba yako ambacho sio corrupt ni kipi mkuu? Halafu mbona unachanganya mambo mengi pasipohusu, hii topic ni kuteuliwa kwa Dr. Mwele na Rais wa Jamhuri, hayo mengine yana topic zake humu JF nenda ukaongelee kule sio hapa, hapa ni uteuzi wa DR. Mwele na Rais wa Jamhuri tu! ha! ha!

- Halafu huu ukiranja wa kuamuru members humu what to discuss umepewa na nani? Na lini? ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Back
Top Bottom