William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
:redfaces:the Malecelas niliokuwa nawazimia ni Marehemu Ippy hudu Mwele na yule Lawyer
hao waliobaki tutasameheana
- ??????????????????????
:redfaces:the Malecelas niliokuwa nawazimia ni Marehemu Ippy hudu Mwele na yule Lawyer
hao waliobaki tutasameheana
Ufuatao ni uthibitisho tosha kuwa Mwele ni kichwa and she is highly qualified for this post. I share your concerns kuwa serikalini vyeo vinatolewa ki-ndugu, kwa watoto wa wakubwa, na kila aina ya upendeleo. Ila mkisoma profile yake ifuatayo, nadhani mtakubali huyu mama ni kichwa:
Mwele ameolewa??? Nijibiwe hilo tu!
Mwele ameolewa??? Nijibiwe hilo tu!
Hajaolewa wala hana mtoto - a carrier woman
na mke wa mtoto wa Malecela nae alipachikwa pale ubalozini na kuna huyo uliyemtaja wa UN (ambae si mwanae bali alitunzwa tu ila anaenda na jina hilo kwa maana lina maslahi zaidi ya jina la babake mzazi) na huyu aliyeteuliwa jana, wote hawa kinachoteuliwa ni jina ya baba yao, sijui kama wao wenyewe wanalala usingizi proudful kuwa nime achieve something noble kwa uwezo na jitihada yangu mwenyewe.Tusimsahau Tully Malecela yuko huko DC kwa wanaotuwakilisha UN.
Watoto wao wako kwenye system.
what a coincidence!!!! Ntamtafuta
Kwahiyo na wewe hujaoa wala huna mtoto? How old ate you?
Umekwenda Kidato lakini? au ni mwenzangu na mimi lasaba B? pana PhD hapo tena si kama ile ya Lugoba!!! tehe tehe tehesiwezi kuanika miaka yangu kiivyo, ila nitamtafuta mwele nahakika ninammudu
Umekwenda Kidato lakini? au ni mwenzangu na mimi lasaba B? pana PhD hapo tena si kama ile ya Lugoba!!! tehe tehe tehe
siwezi kuanika miaka yangu kiivyo, ila nitamtafuta mwele nahakika ninammudu
Nchi hii bwana!!!! Ukiwa mtoto wa mkubwa basi hutakiwi kupata kazi nzuri, kupandishwa cheo, ubunge na uwaziri ndo aaaaaaaa. Somesheni watoto wenu na nyie ili waje kupata vyeo sio mnabaki kusimanga watoto wa wakubwa. Sioni kwanini watu wana urgue Mwele kupewa nafasi ya DG. Mwele has been with the institute for almost 30 years, very well educated in the field, long experience in different capacities. N apia position ya Acting DG amekaa miaka kama mitatu tangu Dr Kitua astaafu. Kitu ambacho ningependa tu urgue strongly ni ufanisi wa NIMR.
Enyi Majuha msio mjua Mwele mkae kimya! She is splendid Tanzanian lady with intelectual ability nimefanya naye kazi in professional level for the past 4 years! Shes sweet kwa kazi hata Nov nilikuwa naye Atlanta! Enyi wajungu mpongezeni Kikwete ! Pole Mboera Dr , endelea na ushirikina. We need a transformation in NIMR