BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Nchi hii bwana!!!! Ukiwa mtoto wa mkubwa basi hutakiwi kupata kazi nzuri, kupandishwa cheo, ubunge na uwaziri ndo aaaaaaaa. Somesheni watoto wenu na nyie ili waje kupata vyeo sio mnabaki kusimanga watoto wa wakubwa. Sioni kwanini watu wana urgue Mwele kupewa nafasi ya DG. Mwele has been with the institute for almost 30 years, very well educated in the field, long experience in different capacities. N apia position ya Acting DG amekaa miaka kama mitatu tangu Dr Kitua astaafu. Kitu ambacho ningependa tu urgue strongly ni ufanisi wa NIMR.