Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Dec 25, 2010.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Jakaya Kikwete amemteuwa Dk. Mwele Malecela kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa National Institute for Medical Research (NIMR) iliyo chini ya Wizara ya Afya. Dk. Mwele alikuwa ni mtafiti mkuu wa NIMR na amekuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu kwa muda. Ni kijana na mwanamke wa kwanza kuiongoza NIMR. Huyu mama ni kichwa sana na anaweza sana kazi. JK huwa anafanya mapupu mengi sana kwenye uteuzi wake ila hapa kafanya kweli.

  Source: channel ten news bulletin leo 7pm
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,207
  Trophy Points: 280
  Congrats Mwele!
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mimi sisemi chochote kwa sasa ngoja wanaomjua waje waeleze!!! Mbona umeweka post an kukimbilia kumfagilia kakutuma?

  Tiba
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mafanikio aliyowahi kuletea taifa katika kuwajibika kwake kwenye nyadhifa mbali mbali huku siku za nyuma plz???????????
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Tatizo la utafiti hatujui hata wanafanya nini....................na wamekuwa na madai mseto ya kuongezewa fungu.........sina uhakika hata kama wakiongezewa fungu wataboresha chochote ukizingatia viongozi tulionao.......ambao wengi wao ni bora liende.......................
   
 6. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nampongeza kwa dhati.

  Ila nilishawahi kutonywa kuwa Sheria iliyoanzisha NIMR inataja kuwa DG wake lazima awe na MD na huyu mama ninavyosikia hana hiyo MD (wanaojua please tuelezeni yalivyo). Sina maana kuwa yeye siyo capable, bali ningependa kuweka records clear.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  huyu black
  [​IMG]
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dr Wele Malecela si 'kichwa' kama alivoonekana kudai mwenzetu hapa.

  Kwa mujibu wa kumbukumbu za NIMRI ya machapisho ya tafiti kwenye li-jarida lao kati ya 1980 hadi 2009 (takriban miaka 28) , huyu mama anaonekana kuchangia sehemu ndogo sana pale. Katika pita pita zangu mle nimeona wachangiaji machapisho amba majina yao yanarudia rudia sana wakiwa ni wengine kabisa. Sasa huu ukichwa ...

  Labda kama kuna sifa nyinginezo mbali na kuwa mtoto wa 'Katapila' na basi mtujuze humu.


  http://www.nimr.or.tz/documents/PUBLICATION-NIMR-%20BY%20YEAR.pdf

  15) Malecela, M.N., Lazarus, W, Mwingira U, Mwakitalu E, Makene C, Kabali
  C, Mackenzie C. Eliminating LF: A progress report from Tanzania. Journal
  of Lymphoedema 2009; 4(1), .
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu 'Kichwa' kweli kweli mkuu. Research Centre bila machapisho CURRENT NA ZENYE TIJA KWA JAMII YA TANZANIA.

  Taasisi ya aina hiyo kwa wengi haitokua tofauti saana na a mere Talking-Shop kwa wanaoteuliwa huko kama si mradi tu wa kukigia fedha za wahisani kwenda kwenye mifuko ya watu wasiostahili.

  Na kama unadhani kwamba haya ninayoyasema ni utani basi jaribu sasa kutafuta kijarida na publications mbali mbali hapo online ndio ujue kwamba NIMRI ni Kijiwe tu cha Majungu na kuvujisha fedha za wahisani na walipa kodi.

  Ukianza kutafuta machapisho basi utakutana na jibu hili hapa:


  Warning: mysql_pconnect() [function.mysql-pconnect]: Access denied for user 'nimror_ajonas'@'localhost' (using password: YES) in /home/nimror/public_html/nhrd/index.php on line 6

  Warning: mysql_select_db(): supplied argument is not a valid MySQL-Link resource in /home/nimror/public_html/nhrd/index.php on line 13

  Warning: mysql_query(): supplied argument is not a valid MySQL-Link resource in /home/nimror/public_html/nhrd/index.php on line 21
  Fail to insert
   
 10. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Nilihudhuria intense workshop moja ya wiki 3,ilishirikisha young scientists from east and central africa. Dr Mwele alialikwa kama mgeni rasmi na akapresent 'research' paper yake. Kwa kweli kitaaluma yetu as medical scientists sio mkali,alichapwa maswali kama 9 hivi akabaki kuomba misamaha tu.Lunch break nikakaa nae nikapata impresion kua kama alikua anajua huko awali basi scientific knowledge imekua diluted na too much politics. But she is a nice lady and dedicated sana in those aspects NIMR is in ok hands.Hana tamaa za ufisadi.
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I cant wait kusoma wale wanaolalamika kuwa JK anajaza Waislam wenzie kila kona wakilalamika

  Sijaridhika. Mimi nilitaka awe naibu waziri au katibu mkuu pale Afya. She is just different from the other Malecelas (the ones i know)and thats why I've always admired her mwingine niliyekuwa nikimuadmire ni Ipyana ambaye alitangulia mbele ya Haki.
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  umesahau kuongezea hapo
   
 13. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huyu mama hana u-kichwa wowote, ni Politics tu!! Kwa NIMR wakali wa ukweli wapo Ifakara na Amani Merical Research!! Hata yule jamaa wa Korogwe DR. GESASE (tafadhalini tafuteni macahpisho na kazi za huyu jamaa, ni mkali hasa japo hana cheo wala madaraka NIMR) amem-zidi sana tu! Kuna watafiti wa nje wamefanya kazi NIMRI, mfano Dr Roly Gosling na Prof. Robert Pool, kati ya hawa sijawahi kumsikia yeyot ekati yao kumkubali Mwele...ni politiks tu na jia kubwa!!
   
 14. T

  The Informer Senior Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufuatao ni uthibitisho tosha kuwa Mwele ni kichwa and she is highly qualified for this post. I share your concerns kuwa serikalini vyeo vinatolewa ki-ndugu, kwa watoto wa wakubwa, na kila aina ya upendeleo. Ila mkisoma profile yake ifuatayo, nadhani mtakubali huyu mama ni kichwa:


  Mwele Malecela, MSc, PhD


  Dr. Mwele Malecela is a Chief Research Scientist and Director of Research Coordination and Promotion on the National Institute for Medical Research, Tanzania. She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. She holds a BsC in Zoology from the University of Dar-es-Salaam, and an MSc and PhD in Parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine.) Her area of specialization was filarial immunology specifically on filarial immune evasion mechanisms.

  Mwele has worked at the National Institute for Medical Research for 21 years, mainly in the field of Lymphatic Filariasis immuno-epidemiology, and has also worked in the areas of Health Systems and Policy Research. As Director of Research at NIMR, Mwele's focus is now mainly research capacity building and the translation of research into action, policy and practice. She has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.

  In her role as Director of the National Lymphatic Filariasis Elimination Program, she brings her long research experience to efforts to eliminate filariasis, and she has run the national program since its inception in 2000. She is well known for her role in advocacy campaigns that have brought to light the real extent of the problem in Tanzania. Mwele is also well known for her efforts in ensuring that the LF program has a strong operation research component and has published extensively in this area.

  Mwele has served on a number of international committees including The Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee, and the advisory board of the Initiative on Public-Private Partnerships in Health (IPPPH). She sits on the board of the Aga Kahn Hospital and the International Medical and Technological University, both based in Dar-es-Salaam, Tanzania; and is an adjunct faculty member for the Public Health Sciences Institute of Morehouse College, Atlanta, Georgia, USA.

  Source: The Floating Clinic


  Dr Mwele Ntuli Malecela

  Dr Mwele Ntuli Malecela is Chief Research Scientist, acting Director General and Director of Research Coordination and Promotion of the National Institute for Medical Research, the United Republic of Tanzania.

  She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Programmme. She worked for 23 years at the National Institute for Medical Research in the field of lymphatic filariasis immuno-epidemiology and has run successful programmes for LF patients.

  Dr Malecela has several publications in peer reviewed journals.

  Source: WHO | Dr Mwele Ntuli Malecela

  Hii inajibu hofu za baadhi ya wana JF kusema eti si MD (mwenzio ana phD) au eti hajafanya research (yeye alikuwa Chief Research Scientist wa NIMR kabla ya promotion hii na amefanya research kibao).

  NEED I SAY MORE?
   
 15. T

  The Informer Senior Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soma CV yake nime post hapo juu mkuu. You are allowed to withdraw your statements kama unaona ulikurupuka kumshutumu Ms. Malecela.
   
 16. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Elitism ya Tanzania ni kubwa mno.
  Thus why watu kama akina Malecela,Salim Ahmed Salim,Mwinyi ,Msekwa HAWAWEZI hata siku moja kusema vibaya kuhusu JK,hata aiuze nchi.
  Do you think Malecela angukuwa mstari wa mbele kama akina Mwakyembe etc ,huyu mtoto wake angepata haya madaraka

  Why?Wanainterests ya watoto na wajukuu zao kwenye madaraka katika serikali.

  1.Mwinyi nafikri interest yake mtoto wake Dr Hussein Mwinyi awe RAIS siku moja.Je anaqualify kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT?No way
  2.Malecela the same.Ukigoogle Malecela,ana hao watoto :
  1.Dr Mwele Macelela ndio huju ameula
  2.Mwendwa Malecela ,High Court Judge
  3.Secela Malecela ,MD uko USA


  3.Msekwa hawezi kusema lolote,maana mtoto wake yuko huko Sweden ubalozi etc etc

  Tusishangae sana,ndio norm hapa Tanzania.Huyu Mwele whether ni mzuri au kichwa ,God knows.Tukumbuke elimu na utafiti wetu bado ni mediocre.NIMR is a joke ,kama MUHAS na vyombo vingine

  Riz1 one day atakuwa JAJI wa mahakama Kuu ,kama Mwendwa Malecela!
  January Makamba anatakuwa Rais wa Jamhuri.
   
 17. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Credit should be given where it deserves.. Dr Mwele is capable and qualified for the job, the fact that she also happens to be Mr Malecela's daughter, doesn't mean she was given the post, its just that this place is full of hatred and cynicsm(sp) even to things we are sure of...
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pengine utakua unakaribia sana kwenye ukweli mzee katika hili. Lakini, kwangu mimi kama MLAJI WA MWISHO wa tafiti mbali mbali wanazozifanya hawa wasomi ma-PhD hawa, hata kidogo tusilumbane VYEO walivyowahi kuvishika au watakavyovishika, wala tusipoteze muda kwenye PRESTEGIOUS UNIVERSITY walikowahi kusoma bali wewe niwekee reliable data hapa kuhusu yafuatayo na nita-Withdraw statement bila shida:

  1) Katika kipindi cha miaka 21 akiwa NIMRI, IMPACT ya tafiti zao zikoje ukiziakisi na Trend ya Infant Mortality Rate nchini mwetu kutokana na magonjwa yanayozuilika nchini kutokana na Malaria???

  2) Oanisha pia mafanikio ya tafiti za NIMRI katika kipindi hicho hicho na ongezeko la TB nchini

  3) Kwa uteuzi huo sasa inamaanisha kwamba MTAFITI NAMBA MOJA Tanzania kwa masuala ya uganga na tiba ni Ndg Malecela Jr na wala halina ubishi. Je, anazo tafiti ngapi na machapisho mengineo hapo katika kipindi hicho hicho??

  4) Sheria inayoianzisha NIMRI inamtaka DG kwanza awe na degree katika medicine (MD ambayo huku mtaani tunaitafsiri kama Dr) na wala si udokta wa PhD tu katika mambo mengine tu ya pembeni. Je, huyu mwenzetu kwenye profile yake pale SIJAONA NI LINI HASA NA WAPI kahitimu sifa hiyo iliyotajwa kisheria.

  Sasa inamaana uteuzi huu umezingatia misingi ya sheria au kumpooza Mzee Katapila moyo baada ya kuchakachuliwa ubunge Mtera??? Usije ukawa ni kama wale wanaotetemekea CV na hata koiajiri CV ukaacha watu walioweza kuleta mguso na tija wa hali ya juu pembeni.

  Ila, kama mwana mama kutakiwa kuinuliwa ni sharti misingi iliowekwa kwanza kufuatwa. Tuache mi-Short Cuts katika mambo ya taaluma ndugu kwani walioingiza vigezo hivyo naamini kwamba hawakua vichaa.

  Naomba niachie kwa hapo tu kwanza.
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huyo ni kichwa sana. Ameshughulikia sana tatizo la wananchi wa pwani la matende na mabusha. She is good bwana tuache maskhala!
   
 20. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  If it happens Mzee Malecela is very critical of JK malpractices,do you think she will get the post?
   
Loading...