Dk Mwakyembe Kupewa Uwaziri?

MAFISH

Member
Feb 7, 2008
39
1
Wanandugu habari nyepepesi nyepesi zilizotufikia hapa
ni kwamabna mzee bado anaomba ushauri jamaa(DK MWAKYEMBE)) aingie kwenye list
au la..na hili limetokana na mh waziri mkuu mpya kumshauri
kuwepo kwa ""KIFAA""hichi ili waweze kumaliza yale mungu aiopanga kuwaondolea umaskini watanzania.....habari zaidi ntaendelea kuwaletea kesho nini kinaendelea,,,kuna uwezkano mkubwa wana JF WAKAWA WACHAWI WA MAFISADI...habari nyingine mzee mzima MRAMBA amejaribu kumwomba mzee asimshirikishe katika ufalme huu isije ikamtokeaa laana ya kujiuzulu kama wenzake wakina karamagi,,,,ila inasemekana kuna wah 3 wa epa wako kwenye list kwa makusudi ili waweze kusaidia ushaidi na kuja kuungama mbele yawabunge wengine,,kam hili ni kweli basi,,,stay in tune
NEEMA YA WATANZANIA INAKUJA SASA.............
 
Technically,, sidhani kama hili linawezekana kwa sababu kidume ndo kwanza kammaliza mtu juzi, sasa akipata uwaziri itaonekana kuna kitu ndani yake. but ni vizuri akabakia back bencher kwa manufaa ya Taifa maana yeye huthubutu na anasimamia kile anachoamini na si kulazimishwa. kumpa uwaziri ni kujaribu kumfunga mdomo
 
uwaziri wa nini yeye anataka kuwa raisi 2010! tutaongozwa na mafisadi mpaka lini?
 
Nafikiri kwa sasa aendelee kuwa specialist wa hizi TUME... tunahitaji mambo yaibuliwe kama ilivyokuwa kny Richmond deal

Hawa wafuatao nitafurahi sana kama hawatakuwemo katika baraza jipya la mawaziri. Mramba, Meghji, Magufuli, Msolla, Chenge, Mungai, Kingunge. Baadhi yao wamehusika na ufisadi na wengine utendaji wao umekuwa ni wa chini mno.
 
MWANAHALISI
soma mtanzania ya leo..sio nyepesi tena......
na wapinzani kupewa nao....kwa maoni yangu
""MWENYEZI MUNGU BABA WA REHEMA MGAWA REHEMA NDOGONDOGO NA KUBWA NYEPESI NA NZITO NDEFU NA FUPI MGAWIE KIUMBE CHAKO DK H,MWAKYEMBE KITENGO CHA UKUU NWA TAKUKURU NA WALE WOTE WALIOIBA MALI ZA WATANZANIA WATAKAPOFIKA KWAKE ASIWE NA ROHO YA K=MSAMAHA
NA KUWAMALIZA.....WAFIKAPO MBELE YA KITIOCHAKE NAKUOMBA UMUONGOZE KWA REHEMA ZAKO....UMPE EE BWANA
AMINA
 
This is quite a joke! Kuongoza tume ndio kunamfanya afikiriwe kuwa waziri that is crazy, crazy!
 
Technically,, sidhani kama hili linawezekana kwa sababu kidume ndo kwanza kammaliza mtu juzi, sasa akipata uwaziri itaonekana kuna kitu ndani yake. but ni vizuri akabakia back bencher kwa manufaa ya Taifa maana yeye huthubutu na anasimamia kile anachoamini na si kulazimishwa. kumpa uwaziri ni kujaribu kumfunga mdomo

Mwakyembe anaweza kuwa Waziri au anaweza kuwa "Assasin" tisha toto (kwa wakubwa) kama Napoleon Bonapatre.

Ikija issue ya Tume tunamuweka aidha kama mwenyekiti au mshauri kwa maana ameonekana anaweza kumkoma nyani.Tatizo inabidi aweze kuhoji pande zote.
 
uwaziri wa nini yeye anataka kuwa raisi 2010! tutaongozwa na mafisadi mpaka lini?

Hatuwezi kuwa guinea pigs. Mtu hata ukatibu kata hajawahi kuwa unataka apewe nchi kwa kubwa lipi alilolifanya. Hiyo ripoti ya Richmond? Mbona kuna mashujaa huko TANESCO ambao walikubali kuacha kazi kwa kukataa ufisadi. Tena hata hakuwataja katika ripoti yake
 
Mhh!!!

Kata na Wilaya ipi kubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom