Dk. Mwakyembe afunguka! Aeleza mkakati wa kumuua ulivyopangwa...

Ni wazi Dr Mwakyembe alitaka kuvuta umati mkubwa, na aligundua the only way kupata watu wengi ni kudandia lift ya Sugu. Kwa kifupi Mwakyembe amekiri Sugu anakubalika Mbeya.
 
AhaAa wanafiki wa Chadema mnapongeza Sugu geuzeni santuri iwe Zitto ndio kaandama na Sitta naona mziki wake JF pangekuwa hapatoshi
Chama
Gongo la mboto DSM

Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.
 
Watu huwa wanamu- underestimate Sugu ila jamaa anafahamu kujifunza na kujiimarisha kila anapokuwa!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
AhaAa wanafiki wa Chadema mnapongeza Sugu geuzeni santuri iwe Zitto ndio kaandama na Sitta naona mziki wake JF pangekuwa hapatoshi
Chama
Gongo la mboto DSM

Copy to John Mrema (molemo)
 
Waloukaribisha mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande wakiona hivi wanafikiria usaliti tu. But upinzani wa kisiasa sio upinzani wa kijamii, maisha yanaendelea kama kawa. Hope Sugu utakamata wizara moja baada ya 2015, Kyala jo Mpoki.

Mwakyembe turudishie ndege ya ATCL hawa jamaa wa Precission Air wanatunyanyasa na kutugonga mabei ya ajabu sana. Tunataka ndege ATCL ndio shukrani zitapokelewa.
 
Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.
Anzisha thread ya kumsifu , kumtukuza na kumwabudu Zitto Kabwe hujakatazwa, hii ni thread ya Mwakyembe kutoa shukrani, tafadhali msituletee tabia za kishoga kwenye hii thread.
 
Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.

Ni kweli kama angekuwa ZZK tungetilia shaka.... Its human nature, hata mkeo kama ni kicheche kila ukimuona amesimama na jamaa utahisi mpenzi wake na kama mkeo unamuamini hata akichukuliwa kweli utasema kasingiziwa. Ushauri kwa Zitto ni kuwa arudishe imani kundini maana hata post za ZZK humu zina washabiki tokea upande wa magamba zaidi
 
Mwigulu nchemba ajifunze siasa zenye kuwajali wananchi angalau kama hizi!
Sio yeye anapeleka mamluki kuwafanyia fujo wapinzani kisiasa kumbe wanaoumia ni wapiga kura.

kale kajamaa kana akili ndogo afadha ya kaguruwe
 
Mbona we mvivu wa kufikiri?
Hivi usipo mtaja zitto huwezi kuchangia?

Nyie ndio mnaoleta maneno ya mtaani kumpakazia alaf mnasema wana cdm.
Mbona zitto alisha wambia kuwa msitegemee mkono udondoke?

Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.
 
Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.

jikosoe kwanza wewe kwa kumwita "ZZK 2015" Manake hapo ndipo panapochafua hali ya hewa CDM.
 
Ni wazi Dr Mwakyembe alitaka kuvuta umati mkubwa, na aligundua the only way kupata watu wengi ni kudandia lift ya Sugu. Kwa kifupi Mwakyembe amekiri Sugu anakubalika Mbeya.

Kwa hiyo ndio unataka kusema Sugu amekubali kutumiwa na CCM?

Kwa makubaliano gani?
 
Zoka na ighondu ni wakuogopwa! Ila malipo huwa ni hapahapa! Pole dr.
 
hahahaaaaa walikuwepo wabunge wengi tu kwa nini mmemuona sugu peke ake . ilitoka jana tbc1 pia
 
Waloukaribisha mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande wakiona hivi wanafikiria usaliti tu. But upinzani wa kisiasa sio upinzani wa kijamii, maisha yanaendelea kama kawa. Hope Sugu utakamata wizara moja baada ya 2015, Kyala jo Mpoki.

Mwakyembe turudishie ndege ya ATCL hawa jamaa wa Precission Air wanatunyanyasa na kutugonga mabei ya ajabu sana. Tunataka ndege ATCL ndio shukrani zitapokelewa.

ilikua kijiji gani apo ikolo au ipyana?
 
Kwa kweli umewaza vyema chama, ingekua ni ZZK 2015 hapo ungesikia majungu ya kutosha humu jukwaani.
Nilishasema siku zilizopita 'wa kuwika ni jogoo tu, bundi akiwika anaonekana mchuro'.
Tatizo siyo kwamba "ingekuwa ni ZZK 2015",tatizo ni hautumii akili yako kufikiria,jiulize kama Sugu alialikwa,basi ungeuliza swali ni kwanini Mwakyembe hakumwalika "ZZK 2015",(endapo hakuwepo).Tumia ubongo uliopewa,wanasema kichwa ulichopewa si cha kufugia nywele peke yake.
 
Mwakyembe alitoa Mwaliko kwa wabunge wa Mbeya na sugu ni mmoja wa wabunge wa Mbeya ndo maana ata Mwandosya alikuwepo!
Tujifunze political tolelance Sugu ni mwana mbeya so kama kuna issue inahusu wana mbeya why asijumuike?
 
Back
Top Bottom