Dk. Magufuli kuwa mwenyekiti CCM sio nguvu ya soda, ni lazima...

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,237
11,347
Upo msemo unasema jambo usilolijuwa Ni Kama usiku wa kiza. Huu usemi unataka kidhihirika ktk kipindi hiki cha kumpa cha Mh Dr Magufuli

Watu kama mwanakijiji tuwe wakweli ni ndumila kuwili wana anfika yenzi ndefu wakijuwa nini wanakitaka kutoka kwa akina nani.

Mh Magufuli ndie mwenyekiti wa chama na mtu mwenye nyama na dam kama mimi na wewe hawezi mzuwia labda Mungu sikuhiyo atume malaika wasitishe zoezi ila Mh Magufuli ndie mwenyekiti.

Ipo wazi ni akina nani wanafanya nini na kwa ajili ya nani. Nimuda utajibu kiu ya wa Tz kupata ukweli, ukweli ulio subiriwa kwa miaka mingi. Wataalam wakila nyanja wapo kukinasuwa chama ktk kipindi hiki kizito na kama nilipo sema pale mwanzo Mh Magufuli kuwa mwenyekiti sio nguvu ya soda ila ninguvu yakinyuklia.

Ccm inawenyewe na wenyewe sio akina mwanakijiji na mafisadi papa waliokuwa wakiki angamiza chama... Wenyewe wanajijuwa kamati za siri ndani yakamati za siri ya siri..

Kwaherini tukutane whitehouse
 
Sasa wewe nawe punguza usanii basi yaani unatabiri kitu ambacho kimekwisha tokea? Umeambiwa anaenda kukabidhiwa alafu wee unakuja na hekaya za ajabu
 
kama wajumbe wenyewe ndio hawa poa tu
 
Attachments

  • 13822721_1130506290339706_787767084_n.mp4
    1,012.6 KB · Views: 24
Back
Top Bottom