state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,511
Ukipata akakusaidia kurekebisha
Hahahaa.......... Kigwangalla amekusikia!Ukipata akakusaidia kurekebisha View attachment 1151777
Kujana wa mwendo kasiKigwangala kajiaibisha sana, yaani kumbe hata hajui Mwalimu alikuwa anafananaje? kweli Waziri mzima hujui sura ya baba wa taifa? too sad.
Raisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..Kigwangala kajiaibisha sana, yaani kumbe hata hajui Mwalimu alikuwa anafananaje? kweli Waziri mzima hujui sura ya baba wa taifa? too sad.
watoto wa mwendokasi, basi angeomba ushauri kwa yule profesa aliyeokotwa jalalaniKigwangala kajiaibisha sana, yaani kumbe hata hajui Mwalimu alikuwa anafananaje? kweli Waziri mzima hujui sura ya baba wa taifa? too sad.
Aisee prof gani huyowatoto wa mwendokasi, basi angeomba ushauri kwa yule profesa aliyeokotwa jalalani
Mkuu hujui hii nchi watu wenye vipaji hawapewi nafasi,wanachofanya ni kuangalia jamaa zao wa karibu hata kama hajui chochote,anapewa kazi hivyo unachofanya ni kumpigia mbuzi gitaaUkipata akakusaidia kurekebisha View attachment 1151777
Na ile sanamu ina fanana nae kabisa Mzee wa jalalaniwatoto wa mwendokasi, basi angeomba ushauri kwa yule profesa aliyeokotwa jalalani
Njaa + woga wa tumbuzi+kujipendekeza = ?Kigwangala kajiaibisha sana, yaani kumbe hata hajui Mwalimu alikuwa anafananaje? kweli Waziri mzima hujui sura ya baba wa taifa? too sad.
Raisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..
Hapa somo ni kwamba Viongozi wetu wa Serikali wamemsahau Baba wa Haifa
Wangekuwa wanamuenzi wasingesahau sura yake...
Huu ndio ukweli...kupitia Dk ngwalangwala Mungu ametufumbua macho..
WAbongo wote tunaijua sura ya baba wa taifa hao wengine ni wahamiaji tu including malaika gabrielRaisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..
Hapa somo ni kwamba Viongozi wetu wa Serikali wamemsahau Baba wa Haifa
Wangekuwa wanamuenzi wasingesahau sura yake...
Huu ndio ukweli...kupitia Dk ngwalangwala Mungu ametufumbua macho..
Copy ya huyu ama
Haswaa...Copy ya huyu ama
Haswaa...
Noma sana, Stive nyrere.!!?😬😂😂