Dk.kigwangala mtafute huyu jamaa

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Ukipata akakusaidia kurekebisha
FB_IMG_1562917604018.jpeg
 
Kigwangala kajiaibisha sana, yaani kumbe hata hajui Mwalimu alikuwa anafananaje? kweli Waziri mzima hujui sura ya baba wa taifa? too sad.
Raisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..

Hapa somo ni kwamba Viongozi wetu wa Serikali wamemsahau Baba wa Haifa

Wangekuwa wanamuenzi wasingesahau sura yake...

Huu ndio ukweli...kupitia Dk ngwalangwala Mungu ametufumbua macho..
 
Watu wanasema amezuga tu,eti ni Sanamu LA mzee Pombe,anamuenzi kimtindo.Ngoja uone kama likibdilishwa Sawa
Raisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..

Hapa somo ni kwamba Viongozi wetu wa Serikali wamemsahau Baba wa Haifa

Wangekuwa wanamuenzi wasingesahau sura yake...

Huu ndio ukweli...kupitia Dk ngwalangwala Mungu ametufumbua macho..
 
Raisi mwenyewe hajui sura ya Mwalimu nyerere ndio maana kalipokea sanamu la Chifu Burigi Chato..

Hapa somo ni kwamba Viongozi wetu wa Serikali wamemsahau Baba wa Haifa

Wangekuwa wanamuenzi wasingesahau sura yake...

Huu ndio ukweli...kupitia Dk ngwalangwala Mungu ametufumbua macho..
WAbongo wote tunaijua sura ya baba wa taifa hao wengine ni wahamiaji tu including malaika gabriel
 
Mabange walio ambiwa na mkulu naona yasha anza fanyakazi...Tutashuudia mengi nazan
Jus relax till next episode 2020
 
Hicho kinyago cha jamaa sio cha kukaa nacho ndani, inabidi kitunzwe museum, maana kinaogofya.....😁😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom