Dk.Jakaya Kikwete afunguka kuhusiana na kinachokwamisha Afrika

HANA UNAFIKI BWANA, TATIZO MIFUMO YETU NA KATIBA HAVINA USHABIHIANO NA MAWAZO YA VIONGOZI...HATA MTU GANI MZURI AKICHUKUA URAIS KAMA MFUMO NDO HUU HUU BADO ATAKOSEA TU....HATA RAIS WETU WA SASA NI MTENDAJI ZAIDI, AMEWEZA KUPIGA KAZI NA KUBADILI MAMBO KIBAO ILA SIKU AKITOKA NAYO YATAISHA; NI SAWA NA MZAZI MKALI AKIWEPO NYUMBANI MAMBO HUENDA VIZURI SANA, AIKIONDOKA TU WATU WANASHEREHEKEA, SIO VIBAYA ILA MFUMO ENDELEVU NA KATIBA NDO MHIMU.
 
Nampongeza JK kwa kuandaa mrithi kanjanja kwenye dakika za lala salama za mchezo, kosa lililofanya Ngosha kuibuka "kutoa kwenye kundi lisilojulikana" hadi kutinga Magogoni
 
Nilijiuliza humu katikati,kwa nn kila kiongozi akipita anaonekana bora kuliko aliyepo?

Kwa kikwete machozi yalikuwepo tu,kwa huyu yy hadi machozi ya damu,,,

Lakin nashangaa anaanza kusifiwa,,,zingatia hata Nyerere waliolia kipindi chake hao hao wanamsifia,

Hivi waombolezaji hawa wanakuwa wanaigiza au?

Au viongozi ndo wanaigiza,kisha wakitoka madarakani ndo wanaishi kwa uhalisia sasa?????
Wanasema wanamkumbuka. Binafsi hawa jamaa sina la kuwakumbuka hata kidogo. Wao ndo wameleta haya majanga ya mikataba ya madini na kutumia wingi wao bungeni kuyapitisha huku akina Lisu Slaa Zito na wengine wakipiga kelele kuhusu huu upuuzi. Leo wanabadili gia angani eti wamekuwa wazalendo wa rasilimali...hivi sisi waafrika nani katuroga? Haya wengine wanaona katiba mpya ni adui wa ubinafsi hawataki hata kuisikia.....lakini namba tunazisoma wote
 
Hivi hizi akili wakiingia kule mjengoni huwa wanaziacha mlangoni

Nakumbuka Sera ya kilimo kwanza ilinona na mbwebwe za kila aina uwaziri akapewa wasira wizara ya kilimo,kasi mpya nguvu mpya ari mpya

Mnafiki tu huyu mzee

Matrekta yapo sumajkt dar mkulima anaisha namtumbo
Hawa jamaa bana huwezi kuwaelewa. Leo wamefunga mipaka wakulima wanasota na mazao yao ndani yaan shida kweli...
 
HANA UNAFIKI BWANA, TATIZO MIFUMO YETU NA KATIBA HAVINA USHABIHIANO NA MAWAZO YA VIONGOZI...HATA MTU GANI MZURI AKICHUKUA URAIS KAMA MFUMO NDO HUU HUU BADO ATAKOSEA TU....HATA RAIS WETU WA SASA NI MTENDAJI ZAIDI, AMEWEZA KUPIGA KAZI NA KUBADILI MAMBO KIBAO ILA SIKU AKITOKA NAYO YATAISHA; NI SAWA NA MZAZI MKALI AKIWEPO NYUMBANI MAMBO HUENDA VIZURI SANA, AIKIONDOKA TU WATU WANASHEREHEKEA, SIO VIBAYA ILA MFUMO ENDELEVU NA KATIBA NDO MHIMU.
Ndo maana akawa rais ili mifumo mibovu na katiba mbovu atoe aweke mifumo na katiba yenye tija. Kama rais analialia nani atutoe kwenye mifumo mobovu?
 
Back
Top Bottom