Dk Didas Masaburi, aibu yako aibu yetu [kuuza hisa asilimia 51 za UDA]


Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,845
Points
1,225
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,845 1,225
dr masaburi kwa kweli umewaumiza watanzania kwa ujasili wako wa kipuuzi kumuuzia simon group hisa 51 ambazo zilizokuwa zinamilikiwa na serikali ni jambo ambalo atukutarajia wakazi wa dar es salaam wewe kufanya ujanja na kuwazunguka wajumbe wa baraza la madiwani na kumuuzia simon group UDA na umevunja taratibu za baraza la madiwani kwa sababu wewe binafsi na kwa nafasi yako auna uwezo wa kuuza UDA bila maamzi ya baraza la madiwani kuidhinisha.

Kibaya zaidi ulicho kifanya ni kamati ya uwekezaji walipotaka kwenda kutembelea UDA juzi ulitia fitina na kuwaeleza msitembelee kwa sababu waandishi wa habari wametanda na ndipo hiyo ziara ilipoailishwa ghafla na sababu kubwa ulijua robert ataweka mambo wazi na kuwa eleza wajumbe wa kamati kuwa sasa hivi yeye anaimiliki UDA kwa asilimia mia moja kwa hyo kamati awana wajibu wa kuhoji kwa nn UDA imekuwa godown ya kuhifadhia makontena.

Kwa kweli masaburi ujawatendea haki watanzania na hasa wakazi wa dar es salaam kwa kitu ulichokifanya na ukitambua ni makosa makubwa kucheza na mali ya uma.
Wana jf tuungane kupiga vita unyama huu wa viongozi wasio waadilifu kuteketeza mali za uma na ikiwezekana hatua kali zichukulie juu ya mtu huyu kwa sababu ni janga la kitaifa kwa mtu kama huyu
 
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,587
Points
1,195
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,587 1,195
Huyu si aliwaambia Wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia "Masaburi yao" na hawakwenda kumshtaki popote!

Inawezekana kweli kawaona viongozi wote mapoyoyo, vinginevyo nao kawapa mgao ndo maana wamepiga kimya!
 
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
huyu yupo kimaslahi sana...utakuta hapo ana gawio lake. Ataumiaje sasa!?? Mi nilishamuona tangu anafanya harakati zake za udiwani kivukoni...ovyoo kabisa..
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,845
Points
1,225
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,845 1,225
huyu yupo kimaslahi sana...utakuta hapo ana gawio lake. Ataumiaje sasa!?? Mi nilishamuona tangu anafanya harakati zake za udiwani kivukoni...ovyoo kabisa..
Lazima apate mgao wake
 

Forum statistics

Threads 1,294,755
Members 498,034
Posts 31,187,163
Top