Dk Bilal azomewa Mbeya; Wananchi wagoma kumsikiliza na kutaka mbunge wao aongee!

Dar ingekuwa na wazalendo kama hawa ungekuta Tz imesha kuwa huru.hawa jamaa hawana mchezo na magamba

Kabisa.
Na ukitaka upigwe mawe Mbeya, basi umseme vibaya Mr Sugu. Tatizo Dar imejaa wachumia tumbo wasiojua haki zao kabisa, ndio sababu magamba wanafanya kila wanalotaka bila kuzomewa
 
Yombayomba, nafikiri majibu mengi yametolewa humu ndani na kwa kuongezea ni kuwa Publish ya mambo ya Nuclear huwezi kuzikuta barabarani kama njugu barabarani. Kama kweli unataka kusoma habari zake, basi jaribu kuangalia kwenye mtandao na utaona habari kadhaa.

Kwanza degree yake ya kwanza kasomea Howard University jambo ambalo linatoa tayari alarm kichwani kwa wajuzi wa mambo. Tusiwe wepesi wa kurusha mawe hata kama mtu hatumfahamu vizuri.

Lukansola, wewe unaonekana mweupe sana wa haya mambo. Wee baki na hayo uliyosoma na kwa mbali naamini kuwa Engineerings subjects hukusoma kabisa. Sitaki kuandika ulisoma nini ila wewe mwenyewe unafahamu.

Kama kweli unataka tuongee kama walau watu wenye kimwanga kwa mbaali, hebu niambie hii ni nini?

Relativity3_Walk_of_Ideas_Berlin.JPG

Sikonge,

Huyu jamaa hakuwa COE, huyu alikuwa department ya Physics. Sasa kama ni mkali saana hebu tuambie ame publish paper ngapi? na kukufanya wewe umuone mkali saana, au amefanya nini cha ajabu hapo Physics?

kama yeye ni mkali wa nyuklia mbona tz hakuna umeme. kwa hiyo hata kama anakariri basi ni mkali. tunataka matendo sio maneno. au kwa kiswahili kingine, practical sio theoey, hicho unachotuambia sasa
ni theory tu. elimu usiyo na manufaa kwa jamii is equal to zero. eti ana mastazi ya nyuklia!
nyuklia my foot
 
Sijui kama watawala wanajifunza chochote kuhusu huu mwamko mpya wa vijana kuanza kuhoji kwanini ziara za kiserikali zijumuishe kazi za chama!
Bado wako usingizini tena usingizi wa pono ni kama vile wabunge wao wanavyosinzia bungeni,huku miswaada ikipitishwa na wao kuuliza ule mswaada umefikia wapi
 
Yombayomba, nafikiri majibu mengi yametolewa humu ndani na kwa kuongezea ni kuwa Publish ya mambo ya Nuclear huwezi kuzikuta barabarani kama njugu barabarani. Kama kweli unataka kusoma habari zake, basi jaribu kuangalia kwenye mtandao na utaona habari kadhaa.

Kwanza degree yake ya kwanza kasomea Howard University jambo ambalo linatoa tayari alarm kichwani kwa wajuzi wa mambo. Tusiwe wepesi wa kurusha mawe hata kama mtu hatumfahamu vizuri.

Lukansola, wewe unaonekana mweupe sana wa haya mambo. Wee baki na hayo uliyosoma na kwa mbali naamini kuwa Engineerings subjects hukusoma kabisa. Sitaki kuandika ulisoma nini ila wewe mwenyewe unafahamu.

Kama kweli unataka tuongee kama walau watu wenye kimwanga kwa mbaali, hebu niambie hii ni nini?

Relativity3_Walk_of_Ideas_Berlin.JPG

Mkuu Sikonge,

Nimekusoma usidanganywe na mtu yeypote, kwanza kwa taarifa yako tu hicho chuo cha Howard marekani ni cha waafrika, yaani quality ya graduate hapo bora usikie sitaki kuongezea. Jamaa yako hamna kitu, angekuwa mkali basi angekuwa ameunasa u associate professor , hebu tuache hizo,
 
Pamoja na kufikiri ni chuo cha weusi, bado ni chuo ambachi ni TOP 100 in USA.

Chuo alichosomea PhD, University of California, Berkeley kaangalia mwenyewe ni cha ngapi duniani na kwa USA na pia angalia kimetoa wakali wangapi ambao baadhi wamekuja kupata hadi Nobel Price.....

University of California, Berkeley - Wikipedia, the free encyclopedia

Dar es Salaam - There is a lot of knowledge and experience to be gained from books, and thus Tanzanians should develop the habit of buying and reading.This was said in Dar es Salaam yesterday by the Vice President, Dr Mohamed Gharib Bilal, when he launched a book with the title 'Quantum Mechanics'. The book will be used to teach physics at university level.
http://allafrica.com/stories/201109230095.html
Mkuu Sikonge,

Nimekusoma usidanganywe na mtu yeypote, kwanza kwa taarifa yako tu hicho chuo cha Howard marekani ni cha waafrika, yaani quality ya graduate hapo bora usikie sitaki kuongezea. Jamaa yako hamna kitu, angekuwa mkali basi angekuwa ameunasa u associate professor , hebu tuache hizo,
 
Pamoja na kufikiri ni chuo cha weusi, bado ni chuo ambachi ni TOP 100 in USA.

Chuo alichosomea PhD, University of California, Berkeley kaangalia mwenyewe ni cha ngapi duniani na kwa USA na pia angalia kimetoa wakali wangapi ambao baadhi wamekuja kupata hadi Nobel Price.....

University of California, Berkeley - Wikipedia, the free encyclopedia

Yaani umesoma ukaona ameandika yeye hiki kitabu? huyu anaweza kweli kuandika kitabu? kama unaenda kuongea na wamachinga unakuwa una soma kutoka kwenye karatasi?

Hebu angalia hapa:
The book was co-authored by Prof Christopher Kiwanga, who died in January 2008, and Prof John Kondoro. Printed and distributed by the University of Dar es Salaam Printing Press, it is appropriate for undergraduate physics degree students.
 
Mkuu Sikonge,

Nimekusoma usidanganywe na mtu yeypote, kwanza kwa taarifa yako tu hicho chuo cha Howard marekani ni cha waafrika, yaani quality ya graduate hapo bora usikie sitaki kuongezea. Jamaa yako hamna kitu, angekuwa mkali basi angekuwa ameunasa u associate professor , hebu tuache hizo,

Stupid! despite being Black college Howard University is highly recognized college; it is one the best in Law, Engineering, Medical, Pharmacy and Nursing; and by the way Howard University has produced many respected Engineers, Doctors and Lawyers. The word BLACK mean more than what you might think; Africans we are smarter like any other race; you sound very ignorant and naive; just for your information Howard has many students from India and China who are studying Engineering and Computer Science. If you don`t know just shut it down.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Yaani umesoma ukaona ameandika yeye hiki kitabu? huyu anaweza kweli kuandika kitabu? kama unaenda kuongea na wamachinga unakuwa una soma kutoka kwenye karatasi?

Hebu angalia hapa:
The book was co-authored by Prof Christopher Kiwanga, who died in January 2008, and Prof John Kondoro. Printed and distributed by the University of Dar es Salaam Printing Press, it is appropriate for undergraduate physics degree students.

The man is a real deal just give his due.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Sawa Mami, jamaa ni MWEUPEE PEEE na mzinga wa Kibonde.

Tuseme pia kuwa hata Shahada zake walimpa tu maana aliwezaje kuzitetea shahada zake? Kwa kusoma kama anavyosoma hotuba? Waalimu wa USA walimbeba kama robota na kumtupa chini pwaaaa.....akiwa na PhD. Zigo hilo mwisho wake ukawa kuletwa Tanzania kuwa Mwalimu pale FOE.

Hata hicho kitabu, yeye hakuandika kitu zaidi ya kuweka blaa blaa tu humu ndani. Siwezi kukubishia wewe Mami maana mwenzangu umeshakisoma na kujua aliandika kurasa ngapi. Mie nakiri kabisa kuwa SIJAKISOMA.

Yaani umesoma ukaona ameandika yeye hiki kitabu? huyu anaweza kweli kuandika kitabu? kama unaenda kuongea na wamachinga unakuwa una soma kutoka kwenye karatasi?

Hebu angalia hapa:
The book was co-authored by Prof Christopher Kiwanga, who died in January 2008, and Prof John Kondoro. Printed and distributed by the University of Dar es Salaam Printing Press, it is appropriate for undergraduate physics degree students.
 
Na hili kwa kweli linashangaza. Naomba wataalam watueleze ni kwanini.

Bwana Bandio weee hebu tafakari, huyu Profesa hasomi kwenye vikaratasi bali huwa anaweka points tu za kumwongoza.

Nyinyi mumezoea mtu aropoke kitakachotokea kichwani tu alimradi cha kuwafurahisha - jaribuni kutafakari.

Kwa wanaomkumbuka Nyerere mara nyingi alikuwa anakwenda na kikaratasi chake cha 'points'. Hii inasaidia katika kukuweka kwenye focus ya vitu unavyotaka kuongea. Bila ya hivyo baada ya mkutano utaanza kujiuliza kama kweli uliongea yale uliyokusudia au umeongeza na chumvi na pilipili zako zisizohitajika.

Eh jamani watanzania matatizo!
 
Kwa wale wanaochangia alisoma Havard na siyo Howard. Wewe mwenye vyeti feki vya kukopi mitihani ya kidato cha sita hebu kajaribu kuapply kama utaona ndani.
 
Back
Top Bottom