Dk Bilal azomewa Mbeya; Wananchi wagoma kumsikiliza na kutaka mbunge wao aongee!

Tunduma hawakutenda haki kwa makamu wa Rais.

Hivi ni sahihi ukimchukia mmoja kwa mfano ndani ya chadema kama shibuda basi chadema wote ukiwaona unawazomea? akitokea Dr Slaa unazomea akija Mbowe unazomea.

Tuwe na kikomo cha kuzomea.
 
Magamba ni zaid ya kinyesi dunian!Heko mbeya, watakua wanagwaya kuja hko xaxa!
 
alisema Makamu wa Rais huku akiwa hasikiki vizuri kutokana na kelele kutawala umati huo,

Huu sasa uongo mara hasikiki, ulisikiaje na kuweza kuelewa yote yaliyozungumzwa?
 
Acheni kudharau waislam na wazanzibar.CDM NI CHAMA CHA MAPADRI HAMTAPATA USHINDI WA URAIS .
 
Sikonge,

Huyu jamaa hakuwa COE, huyu alikuwa department ya Physics. Sasa kama ni mkali saana hebu tuambie ame publish paper ngapi? na kukufanya wewe umuone mkali saana, au amefanya nini cha ajabu hapo Physics?

Acha ****** muulize Dr. Slaa anamfahamu vizuri sana Dr. Bilali

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
quote_icon.png
By sweke 34

nadhani hata afya yake ina mgogoro kidogo...!
kuendesha wale mama wawili machezo?!

Wasomi wenzake huwa wanamwanika na kumtanguliza mmoja kama first lady, sasa huyu jamaa angeshika dola tungekuwa na Primium lady and first lady respectively? Anaishi ulimwengu wa peke yake. Na awapo safarini hupeana zamu au wote kwa mkupuo wanaandamana naye kumpa huduma stahiki? Mmoja kuandaa msosi na mwingine kufua na kunyoosha nguo, perfumes na cream kwa zamu. Wazenj wananitoa jasho sana tu.
 
Director

Unasema kweli yaani mtaalamu wa aliyebobea wa nyukilia anaongea na wauza karanga lazima asome ki karatasi? ha ha ha

Na hili kwa kweli linashangaza. Naomba wataalam watueleze ni kwanini.
 
Sawa ana PhD lakini ngapi? anamfikia huyu hapa chini?

Honours and PhDs for Kikwete
HonourAwarded byDate of AwardReason for Award

Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota)September 2006in recognition of his dedicated public service[SUP][8][/SUP]

Dr Harris Mule, Kenyatta University19 December 2008in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP]

  • Honorary doctorate in the science field of International Relations
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih UniversityFebruary 2010for promoting international relations between Turkey and Tanzania[SUP][11][/SUP]

  • Honorary degree of Public Health
Muhimbili University of Health and Allied Sciences11 December 2010for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[SUP][12][/SUP]

Ambassador Fulgence Kazaura, University of Dar es SalaamOctober 2011at the 41[SUP]st[/SUP] graduation ceremony of the University of Dar es Salaam[SUP][13][/SUP]
 
Jamaa ana PhD tano na Bachelor moja ya Uchumi ya pale UDSM ukiunganisha ana degree 6.........hizi kali kweli ndo maana yuko juu mkuu wetu au sio!
 
Natamani watu wa Arusha na mbeya wangekuwa Dar pale magogoni nina uhakika Kikwete angeenda USA kimojaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dar ingekuwa na wazalendo kama hawa ungekuta Tz imesha kuwa huru.hawa jamaa hawana mchezo na magamba
 
Back
Top Bottom