Dk Bilal azomewa Mbeya; Wananchi wagoma kumsikiliza na kutaka mbunge wao aongee!

Kwenye Siasa, hii familia ya Billal wanalaniwa sana kuwa ni Weupe na hakuwafai ila unajua tena njaa.....

Ila unapowaweka Darasani, tafadhali bana. Huyu jamaa ni mkali sana kwenye field yake ila alichukuliwa enzi ya Kigoma Malima na kuingizwa kwenye siasa kwa wimbo wa "Waislaam sasa zamu yetu."

Akiwa wizara ya elimu kama katibu Mkuu na Mkapa kama Waziri, alikuwa na dharau kubwa sana kwa boss wake kwa kumruka mara nyingi na kwenda moja kwa moja kwa Homeboy wake Rais Mwinyi, hapo upande wa Pili wa Wizara ya elimu yaani Ikulu.

Sijui kwa nini yeye na mdogo wake waliacha kazi wanazoziweza zaidi na kujiingiza kwenye Siasa ambazo hawaziwezi?

Huyu si kuwa ana Masters ila ana PhD ya Nuclear Physics... Waliosoma UDSM Engineering wanamfahamu sana na kumvulia kofia yake kama mtaalam wa hayo mambo. Ila ukweli ni kuwa Physics siyo Siasa.


kama yeye ni mkali wa nyuklia mbona tz hakuna umeme. kwa hiyo hata kama anakariri basi ni mkali. tunataka matendo sio maneno. au kwa kiswahili kingine, practical sio theoey, hicho unachotuambia sasa
ni theory tu. elimu usiyo na manufaa kwa jamii is equal to zero. eti ana mastazi ya nyuklia!
nyuklia my foot
 
Huyu si kuwa ana Masters ila ana PhD ya Nuclear Physics... Waliosoma UDSM Engineering wanamfahamu sana na kumvulia kofia yake kama mtaalam wa hayo mambo. Ila ukweli ni kuwa Physics siyo Siasa.

kama yeye ni mkali wa nyuklia mbona tz hakuna umeme. kwa hiyo hata kama anakariri basi ni mkali. tunataka matendo sio maneno. au kwa kiswahili kingine, practical sio theoey, hicho unachotuambia sasa
ni theory tu. elimu usiyo na manufaa kwa jamii is equal to zero. eti ana mastazi ya nyuklia!
nyuklia my foot
Ingelikuwa nchi za mashariki ya kati, huyu babu angeula lakini huku kwetu hamna kitu, ndio maana dingi kakimbila siasa.

 
Hayo ndiyo mambo ya siasa, ila siasa bila kusikilizana ni taabu, maana hata siku atakapoingia kiongozi wanayemuhitaji akienda sehemu nyingine ambayo hawamuhitaji atapata tabu.
 
Wapambe wa magamba hapa JF huwa wanasema eti Chadema ni chama cha kaskazini....shame on u all
Hongereni wana Tunduma na mbeya yote kwa ujumla....Hongereni Chadema! Freedom is coming tomorrow.
Hakuna kulala hadi kieleweke
 
na bado,huu moto wa kuzomewaa utawafikia hadi wakuu zake
hadi wote wazimie jukwaani
 
Mkuu, yule dingi ni 'PhD holder'
mbona hata mkulu wa nchi ana Phd-sembuse huyu?
bilal.JPG
 
Hii inawastahiki ving'ang'anizi wa madaraka.
Ama kweli Tanzania nchi ya amani. Kwengine watu kama hawa hulengwa viatu na mayai viza au mabaya zaidi.
Wamwangalie Raisi wa zamani wa Yemen, mpaka leo anauguza kisago.
 
Sikonge,

Huyu jamaa hakuwa COE, huyu alikuwa department ya Physics. Sasa kama ni mkali saana hebu tuambie ame publish paper ngapi? na kukufanya wewe umuone mkali saana, au amefanya nini cha ajabu hapo Physics?

Si ukasearch basi au mpaka utafuniwe - eti amepublish paper ngapi. Nyinyi vijana munaopasi kwa kununua mitihani matatizo sana
 
kama yeye ni mkali wa nyuklia mbona tz hakuna umeme. kwa hiyo hata kama anakariri basi ni mkali. tunataka matendo sio maneno. au kwa kiswahili kingine, practical sio theoey, hicho unachotuambia sasa ni theory tu. elimu usiyo na manufaa kwa jamii is equal to zero. eti ana mastazi ya nyuklia!
nyuklia my foot

Unaona hata uwezo wa kufanya analysis ulivyokuwa mdogo?

Nyuklia your foot kweli kweli maana ni humpty dumpty
 
Back
Top Bottom