Dk batilda epukana na matapeli wa afc arusha!!!wasikufanye kitega uchumi chao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk batilda epukana na matapeli wa afc arusha!!!wasikufanye kitega uchumi chao

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Mar 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  MAMA YANGU MPENDW ANAKUPENDA SANA SANA NA NA HAKIKA NTAKUWA MMOJA WA WAPIGA KURA WAKO SIKU YA KUKUCHAGUA KUWA MBUNGE WA ARUSHA KUMWONDOA YULE ANAEJIITA MWENYE PESA MZEE FELIX TARIMO..
  KWA KIFUPI TU NIMEONA HII SEHEMU NKAONA NIKUWEKE WAZI MZAZI MWENZANGU UWE MACHO NA HAWA MATAPELI WA AFC WANATAKA KUKUTUMIA KAMA MRADI WAKATI HUU ULIPOTANGAZA KUGOMBEA,..MZAZI NIKUJULISHE NI HAWA HAWA WAKO UWANJANI WANAKUTANGAZA OVYO
  PALE REFARII ANAPOARIBU MPIRA NA KUDAI MBUNGE WETU MTRAJIWA AMEWAAMBIA WAHAKIKISHE PIGA UA TIMU YA AFC INAINGIA LIGI DARAJA LA KWANZA...HATA KWA LOLOTE,..SASA LABDA NIKWAMBIE WASHUKURU WASTAARABU WA TBC JUZI KAMA ULIMSIKIA MZEE ABBAS MTEMVU ALIPOKUWA AKILALAMIKA ALIPOFIKA UKIFIKA UNASIKIA KUNA KUNDI LA WANA....(WAKAWEKA SILENCE)..MAMA HAPO ULIHIFADHIWA..KUWA MAKINI SANA NA HAWA VIONGOZI...WASIKUTUMIE KAMA KITEGA UCHUMI....
  KARIBU ARUSHA  Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mazingira), Dk. Batilda Buriani, viongozi wa mkoa, wabunge na wafanyabiashara wa mkoa wa Arusha watafuatwa na kuombwa kuisaidia timu ya mkoani kwao ya AFC Arusha ili mwakani icheze Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

  Kwa kuanzia, kamati maalum ya wanachama sita wa klabu hiyo imeundwa ili kwenda kuonana na wafanyabiashara, wabunge, viongozi wa serikali na waziri Batilda.

  Meneja wa AFC Arusha, Denis Shemtoe, alisema wamepata wazo hilo la kuomba msaada wa vigogo wa Serikali na wafanyabiashara wa Arusha baada ya kuona kuwa klabu yao inayoshiriki 9-bora ya ligi daraja la kwanza inayoendelea mkoani humo, ikiwezeshwa itafanya vizuri na kucheza ligi kuu msimu ujao.

  Hadi kufikia juzi, AFC Arusha iliyoshinda mechi mbili na kufungwa moja, inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo, ikitanguliwa na klabu za Polisi ya Dodoma na Ruvu Shooting Stars ya Pwani ambazo zote zina pointi saba. Timu tatu zitakazofanya vizuri katika ligi hiyo zitapanda daraja.

  Shemtoe aliwataja baadhi ya vigogo wa serikali na wafanyabiashara watakaoombwa kuisaidia AFC Arusha ili irejee katika Ligi Kuu ya Bara msimu ujao kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isidori Shirima na Kamanda wa Polisi wa jiji hilo, Basilio Matei.

  “Mkoa wetu una bahati ya kuwa na viongozi na wafanyabiashara wanaounga mkono shughuli za michezo… tunaamini kuwa tukishirikiana nao vyema, timu yetu itatimiza lengo na kupanda daraja,” alisema Shemtoe.

  Aliwataja wanachama wanaounda kamati maalum ya klabu yao kuwa ni Ramadhani Siwayombe, John Mashaka, Rashid Wise, Billy Mwilima, John Mhalla, Francis Kapil na Bwana Stev
   
Loading...