Dk Bashiru: Msiihusishe Serikali na matukio ya watu kutekwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Dk Bashiru: Msiihusishe Serikali na matukio ya watu kutekwa,

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Simanjiro. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema si sahihi kuihusisha Serikali ya Tanzania na matukio ya utekaji wa watu.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro katika siku yake ya kwanza ya ziara yake mkoani Manyara.

Amebainisha kuwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa taarifa potofu kuhusu watu wanaotekwa na kupotea na kuhusisha matukio hayo na Serikali.

"Ulinzi na usalama ni wajibu wa Serikali, baadhi ya watu kuihusisha (Serikali) na watu wasiojulikana wanaoteka watu hapo watakuwa wanaoichonganisha na watu wake," amesema Bashiru huku akibainisha kuwa mwenye jukumu la kutoa taarifa katika Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na kamanda wa polisi wa Mkoa.

“Hao wawili ndio wanapaswa kutoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama ya Mkoa na si viongozi wengine wanaochafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii," amesema Bashiru.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Mkoa huo amesema Serikali imepiga hatua kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu, afya, miundombinu ya barabara, umeme na maji.
 
Huyu naye mpuuzi mwingine
ccm ndio serikali na serikali ndio ccm
Hawa wapumbavu wamelogwa au ni kujitoa ufahamu?
Bushiri wewe sio kiongozi wa Taifa unajisahau sana
Ongoza wanaccm wenzio sio Taifa kuna mipaka ya uongozi ndeze wewe
 
Wanafunzi wake aliowafundisha UDSM wanamshangaa sana mpuuzi huyu. Wanasema yule aliyewafundisha chuoni na huyu mpuuzi wa ccm wakikutana watauana maana ni watu wawili tofauti kabisa.

Huyu naye mpuuzi mwingine
ccm ndio serikali na serikali ndio ccm
Hawa wapumbavu wamelogwa au ni kujitoa ufahamu?
Bushiri wewe sio kiongozi wa Taifa unajisahau sana
Ongoza wanaccm wenzio sio Taifa kuna mipaka ya uongozi ndeze wewe
 
Dk Bashiru: Msiihusishe Serikali na matukio ya watu kutekwa,

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Simanjiro. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema si sahihi kuihusisha Serikali ya Tanzania na matukio ya utekaji wa watu.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro katika siku yake ya kwanza ya ziara yake mkoani Manyara.

Amebainisha kuwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa taarifa potofu kuhusu watu wanaotekwa na kupotea na kuhusisha matukio hayo na Serikali.

"Ulinzi na usalama ni wajibu wa Serikali, baadhi ya watu kuihusisha (Serikali) na watu wasiojulikana wanaoteka watu hapo watakuwa wanaoichonganisha na watu wake," amesema Bashiru huku akibainisha kuwa mwenye jukumu la kutoa taarifa katika Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na kamanda wa polisi wa Mkoa.

“Hao wawili ndio wanapaswa kutoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama ya Mkoa na si viongozi wengine wanaochafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii," amesema Bashiru.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Mkoa huo amesema Serikali imepiga hatua kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu, afya, miundombinu ya barabara, umeme na maji.

Political mustarbation!
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima alisema kabisa watu wasiojulikana ni akina nani. Katika jaribio lao lililofeli la kumteka Zakaria, ulimwengu ulitangaziwa na msemaji wa Mkoa kuwa hao watekaji, watesaji na wauaji ni usalama wa taifa. Zakaria aliwadhibiti na kuwatandika risasi akijiokoa. Akapandishwa kizimbani kwa kukataa kutekwa! Watekaji hawakuguswa. Nani awaguse? Aliyewatuma, mwajiri wao? Abdul Nondo alijiteka akapelekwa mahakamani. Mahakama ikakataa kuwa alijiteka. Hivyo alitekwa. Serkali hadi leo hajakamata waliomteka. Bashiru unazidi kuharibikiwa. Waambie serkali ya chama chako watoe ripoti ya matukio ya upotevu, utekaji, utesaji na mauaji yanayofanywa na watu wasiojulikana. Hawatatoa ng'o. Kunyamaza humaanisha kukubali!
 
😂😂😂🤣🤣 "Alipelekwa mahakaman kwa kukataa kutekwa"

M sioni haja ya kuzindua mbuga mpya wakati tayari hi nchi Kuna naajabu mengi ambayo yanaweza kua kivutio Cha utalii
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom