Dk Bashiru: Msiihusishe Serikali na matukio ya watu kutekwa

Wivu wa kike anao babaako. Phd FAKE hata thesis kaificha kwa kujua ataumbuka na Phd yake ya kununua.

Bado inakuuma mtu kuwa na PhD. Una wivu wa kike, tafuta yako ili roho itulie
 
Wivu wa kike anao babaako. Phd FAKE hata thesis kaificha kwa kujua ataumbuka na Phd yake ya kununua.
It’s too much sasa kila siku PhD fake hujui uchungu na mateso ya kuzitafuta. Nakumbuka miaka hiyo kuna mama wawili majirani mmoja alikuwa na watoto na wapili hakuwa na mtoto hata mmoja. Huyu siye na watoto alikuwa akinanga tabia za watoto wa mwenzake. Mara hayasalimii, mara matoto yenyewe yana mikamasi etc. Mama mwenye watoto alipozaa mwingine akamuita zaawako. Ukome kunanga PhD za watu nawe tafuta yako ndipo utaziheshimu
 
Wacha ujinga wewe taahira. Uchungu wa kutafuta Phd FAKE!? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

It’s too much sasa kila siku PhD fake hujui uchungu na mateso ya kuzitafuta. Nakumbuka miaka hiyo kuna mama wawili majirani mmoja alikuwa na watoto na wapili hakuwa na mtoto hata mmoja. Huyu siye na watoto alikuwa akinanga tabia za watoto wa mwenzake. Mara hayasalimii, mara matoto yenyewe yana mikamasi etc. Mama mwenye watoto alipozaa mwingine akamuita zaawako.
 
Wacha ujinga wewe taahira. Uchungu wa kutafuta Phd FAKE!? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Sitakoma kukonesha ulivyo na wivu na PhD holders. Kwani unajua kuwa PhD ni contribution ya mtu katika knowledge tu! Kila mtu ambaye haungi mkono chadema unamponda PhD yake. Yako ipo wapi?
 
I don’t deal with stupid people like you.

Sitakoma kukonesha ulivyo na wivu na PhD holders. Kwani unajua kuwa PhD ni contribution ya mtu katika knowledge tu! Kila mtu ambaye haungi mkono chadema unamponda PhD yake. Yako ipo wapi?
 
Hivi kwa akili zenu. Mnadhani mzee bashiru anaweza kuikosoa serikali?
kwani hapendi wanae waende chooni?
 
ccm ni chama tawala na yeye ni katibu wa chama lazima akisemee we vip mjomba
Huyu naye mpuuzi mwingine
ccm ndio serikali na serikali ndio ccm
Hawa wapumbavu wamelogwa au ni kujitoa ufahamu?
Bushiri wewe sio kiongozi wa Taifa unajisahau sana
Ongoza wanaccm wenzio sio Taifa kuna mipaka ya uongozi ndeze wewe
 
Huyu jamaa alipokuwa pale mlimani nillikuwa namkubali na kumheshimu sana,
Lakini tangu ameamia lumumba namdharau kishenzi sijui huwa wanalishwa uchawi gani maskini, yeye na polepole wanasikitisha sana utafikiri wamegeuka na kuwa misukule,aibu.
 
Huyu naye mpuuzi mwingine
ccm ndio serikali na serikali ndio ccm
Hawa wapumbavu wamelogwa au ni kujitoa ufahamu?
Bushiri wewe sio kiongozi wa Taifa unajisahau sana
Ongoza wanaccm wenzio sio Taifa kuna mipaka ya uongozi ndeze wewe
Katibu Mkuu kama wananchi wanatekwa kila kukicha na serikali haina majibu na ndio inawajibika kulinda wananchi unataka wananchi wafanyeje zaidi ya kuihusisha serikali na yanayotokea
 
It’s too much sasa kila siku PhD fake hujui uchungu na mateso ya kuzitafuta. Nakumbuka miaka hiyo kuna mama wawili majirani mmoja alikuwa na watoto na wapili hakuwa na mtoto hata mmoja. Huyu siye na watoto alikuwa akinanga tabia za watoto wa mwenzake. Mara hayasalimii, mara matoto yenyewe yana mikamasi etc. Mama mwenye watoto alipozaa mwingine akamuita zaawako. Ukome kunanga PhD za watu nawe tafuta yako ndipo utaziheshimu

Mkuu PhD fake nayo inauchungu kwenye kuitafuta?
Wewe ni me au ke? Tuanzie hapo
 
Ni Tanzania tu ndio utakuta mtu wa elimu form 4 au 6 kakomaza misuli ya shingo anachambua PhD ya mtu.
Sasa mkuu kama Wa PhD wanageuka kuwa Wa class seven kwanini wasichambuliwe,siku hizi hatuna wivu na hao ma PhD holders hasa wale wanaobadilishiwa rangi ya kijani
 
Dk Bashiru: Msiihusishe Serikali na matukio ya watu kutekwa,

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Simanjiro. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema si sahihi kuihusisha Serikali ya Tanzania na matukio ya utekaji wa watu.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro katika siku yake ya kwanza ya ziara yake mkoani Manyara.

Amebainisha kuwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa taarifa potofu kuhusu watu wanaotekwa na kupotea na kuhusisha matukio hayo na Serikali.

"Ulinzi na usalama ni wajibu wa Serikali, baadhi ya watu kuihusisha (Serikali) na watu wasiojulikana wanaoteka watu hapo watakuwa wanaoichonganisha na watu wake," amesema Bashiru huku akibainisha kuwa mwenye jukumu la kutoa taarifa katika Mkoa ni Mkuu wa Mkoa na kamanda wa polisi wa Mkoa.

“Hao wawili ndio wanapaswa kutoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama ya Mkoa na si viongozi wengine wanaochafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii," amesema Bashiru.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Mkoa huo amesema Serikali imepiga hatua kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu, afya, miundombinu ya barabara, umeme na maji.
Mbona magari yanotuhumiwa kuhusika ni ya siri kali Nissan au Land cruiser ,refer Lissu attack or Azory Gwanda hijack .
 
Basi kama serikali haihusiki itakuwa CCM NDIO WAUWAJI NA WATEKAJI (UVVCM, GREEN GUARD+)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom