Dk Bashiru adai CCM imewakataa wabunge watatu wa upinzani

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Dk Bashiru adai CCM imewakataa wabunge watatu wa upinzani
Thursday July 11 2019
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana

Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya wakati wa mapokezi yake kwenye ziara ya siku moja Wilayani Simanjiro leo. Picha na Joseph Lyimo

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Mirerani. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini kimewakataa wabunge watatu wa vyama vya upinzani walioomba kujiunga nacho.

Amesema waliwakataa baada ya kubaini hawawezi kukidhi vigezo vya kuwa wabunge wa CCM.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara wakati akizungumza katika uwanja wa Barafu katika siku yake ya kwanza ya ziara mkoani humo.

Amesema kabla ya mbunge kujiuzulu na kujiunga na CCM wanakubaliana na kuwahoji mambo mengi ikiwemo dhamira zao na watakayoyafanya kwa ajili ya wananchi.

Amebainisha kuwa CCM si chama cha kuchukua kila mtu na ndio sababu wamewakataa wabunge hao, akijitamba kuwa kama wangewapokea, upinzani ungekwisha.

Hata hivyo, amewapongeza wabunge wawili wa Mkoa wa Manyara waliokuwa Chadema na kuhamia CCM ambako walipitishwa kuwania tena ubunge na kushinda.

Wabunge hao ni James Ole Millya wa Simanjiro na Pauline Gekul wa Babati Mjini, akibainisha kuwa ni viongozi makini.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, Simon Lulu amesema majimbo yote saba ya Mkoa huo yanaongozwa na wabunge wa CCM.
 
Si chama cha kuchukua kila mtu. Wabunge watatu wa vyama vya upinzani wakosa sifa za kuchuliwa. Hawakidhi kuwa wabunge wa CCM. Dhamira zao na watakayofanya kwa ajili ya wananchi. Kupitishwa kuwania tena ubunge na kushinda. Wangewapokea upinzani ungekwisha. Daktari wa falsafa akimiliki hadhara na kutamba jukwaani. Akithibitishia ulimwengu kuwa Zitto Kabwe yuko sahihi kwamba Dr. Bashiru ameharibikiwa upstairs zaidi ya 50% tangu awe KM wa CCM. Zitto huyohuyo aliyemwagiwa sifa na Bashiru huyuhuyu na kumkaribisha CCM. Hakuunga juhudi kwa kuogopa kuharibikiwa pia. Yataka moyo kuwa Polepole wa leo, Mkumbo wa leo, Kabudi wa majalalani, pumbavu wa leo. Yataka moyo. Si lelema!
 
Bashiru Ally aliyejionyesha ni mwanadiplomasia mkubwa, leo ni katibu mkuu wa chama kinachotamba kisiasa kwa nguvu ya dola! Ccm hii inayotangazwa washindi kila uchaguzi kwa madaraka ya rais ni aibu hata kupita huko mitaani kutamba, sana sana anatengeneza imprest lakini sio ushawishi. Halafu sasa hivi kila anapopita wanalazimisha watumishi wa umma kuwa na kadi za ccm, siasa za kishenzi kabisa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nacheka kama mazuri Mkuu. Wahuni na majizi hayo hayajitambui hata chembe. Yataropoka ujinga wowote ule ili kutuzuga Watanzania kwa akili zao finyu Watanzania wote ni wapumbavu.

Uchizi ukikomaa watasema Chama pia kimepokea maombi ya Barack Obama ya kujiunga na CCM lakini kimemkatalia kwa vile ametokea nchi ya mabeberu.
Kisha makofi kwa wingi toka kwa wafuasi wa chama.
 
Huyo mnyamulenge naye fala tu,mirija ya fedha ya kununulia wapinzani uchwara imekatwa,na ile project ya kwanza chakubanga alipiga hela nyingi sana alikuwa anagawana pasu kwa pasu na wale watumwa.
 
Hahahahaa kweli simba akitingwa na njaa ana kula majani,kama wamewakataa wabunge 3 wa upinzani kwa hiyo na majimbo yao wameyakataa pamoja na wananchi wa majimbo hayo?.
 
Dk Bashiru adai CCM imewakataa wabunge watatu wa upinzani
Thursday July 11 2019
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana

Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya wakati wa mapokezi yake kwenye ziara ya siku moja Wilayani Simanjiro leo. Picha na Joseph Lyimo

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Mirerani. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini kimewakataa wabunge watatu wa vyama vya upinzani walioomba kujiunga nacho.

Amesema waliwakataa baada ya kubaini hawawezi kukidhi vigezo vya kuwa wabunge wa CCM.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara wakati akizungumza katika uwanja wa Barafu katika siku yake ya kwanza ya ziara mkoani humo.

Amesema kabla ya mbunge kujiuzulu na kujiunga na CCM wanakubaliana na kuwahoji mambo mengi ikiwemo dhamira zao na watakayoyafanya kwa ajili ya wananchi.

Amebainisha kuwa CCM si chama cha kuchukua kila mtu na ndio sababu wamewakataa wabunge hao, akijitamba kuwa kama wangewapokea, upinzani ungekwisha.

Hata hivyo, amewapongeza wabunge wawili wa Mkoa wa Manyara waliokuwa Chadema na kuhamia CCM ambako walipitishwa kuwania tena ubunge na kushinda.

Wabunge hao ni James Ole Millya wa Simanjiro na Pauline Gekul wa Babati Mjini, akibainisha kuwa ni viongozi makini.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, Simon Lulu amesema majimbo yote saba ya Mkoa huo yanaongozwa na wabunge wa CCM.
Mtu aliyempokea Waitara anaweza kumkataa nani labda kwa mfano??
 
Bashiru Ally aliyejionyesha ni mwanadiplomasia mkubwa, leo ni katibu mkuu wa chama kinachotamba kisiasa kwa nguvu ya dola! Ccm hii inayotangazwa washindi kila uchaguzi kwa madaraka ya rais ni aibu hata kupita huko mitaani kutamba, sana sana anatengeneza imprest lakini sio ushawishi. Halafu sasa hivi kila anapopita wanalazimisha watumishi wa umma kuwa na kadi za ccm, siasa za kishenzi kabisa.
Mfano halisi ni Kilimanjaro
 
watumishi wa umma wa Tanzania ni Kikundi cha watu wasiojitambua . baada ya kugundua hayo niliondoka. with my education nikalale kwenye mwenge kweli!
 
Dk Bashiru adai CCM imewakataa wabunge watatu wa upinzani
Thursday July 11 2019
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana

Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally akisalimiana na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya wakati wa mapokezi yake kwenye ziara ya siku moja Wilayani Simanjiro leo. Picha na Joseph Lyimo

By Joseph Lyimo, Mwananchi jlyimo@mwananchi.co.tz

Mirerani. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini kimewakataa wabunge watatu wa vyama vya upinzani walioomba kujiunga nacho.

Amesema waliwakataa baada ya kubaini hawawezi kukidhi vigezo vya kuwa wabunge wa CCM.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Julai 11, 2019 katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara wakati akizungumza katika uwanja wa Barafu katika siku yake ya kwanza ya ziara mkoani humo.

Amesema kabla ya mbunge kujiuzulu na kujiunga na CCM wanakubaliana na kuwahoji mambo mengi ikiwemo dhamira zao na watakayoyafanya kwa ajili ya wananchi.

Amebainisha kuwa CCM si chama cha kuchukua kila mtu na ndio sababu wamewakataa wabunge hao, akijitamba kuwa kama wangewapokea, upinzani ungekwisha.

Hata hivyo, amewapongeza wabunge wawili wa Mkoa wa Manyara waliokuwa Chadema na kuhamia CCM ambako walipitishwa kuwania tena ubunge na kushinda.

Wabunge hao ni James Ole Millya wa Simanjiro na Pauline Gekul wa Babati Mjini, akibainisha kuwa ni viongozi makini.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, Simon Lulu amesema majimbo yote saba ya Mkoa huo yanaongozwa na wabunge wa CCM.
Hao ndio wasomi wetu wanaotegemewa kulikomboa TAIFA,yaani Dr anaongea utumbo mtupu....Kapewa Shekeli na CCM sasa amekuwa ZUZU.
 
hana tofauti na mazuzu mengine ya ccm yaani wamerudisha wabunge bila hata kuafata taratibu zao za chama chao wamenyang,anya ushindi wa wapinzani harafu wamewageuza wengine vichaa baada ya kuwalawiti na kuwaonyesha picha zao ili waweze kuhamia ccm anathibutu hata kunyenyua domo lake chafu kweli kuishi kwingi kuona mengi
 
Back
Top Bottom