Dk Aman kuvuliwa Umeya Bukoba anguko la Waziri Kagasheki

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia mgogoro unaofukuta kati ya Dk Aman na Kagasheki.

Ili kufanikisha mpango huo Kagasheki yuko Bukoba kwa siku tatu zilizopita akifanya vikao vya siri na wajumbe wa mkutano huo. Baadhi ya vijana waliodaiwa kutaka kukabidhi kadi baada ya azimio hilo kupita wametimuliwa eneo la mkutano kama ilivyokuwa kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya maswali yanayohojiwa nje ya ukumbi ni kama kweli kikao hicho kina ubavu wa kufanya hivyo................endelea kusubiri
 
I hate this man so called Kagasheki, jamaa mnafiki na mdini sana na wanaomjua watanielewa. Nilimchukia toka kipindi kile cha uchaguzi wa wajumbe NEC mkoani Kagera.

Jamaa ana redio yake ''Kasibante FM'' so wakati wa kuwanadi wagombea kwenye redio ilivokuwa ikifika zamu ya wakristo redio ilikuwa inakata matangazo lakini ajabu waislam ilikuwa mwendo mdundo.

Jaman WanaBukoba wenzangu huyu jamaa hafai kabisa na watu washaanza kumchoka kwa unafiki wake, nna imani mwaka 2015 CHADEMA wakisimamisha jembe la maana basi jimbo watachukua.

Onyo:
Wasimsimamishe Muganyizi Rwakatare maana kashapoteza mvuto kabisa Bukoba mjini.
 
Kama mambo yenyewe ndio hivyo!!yu wapi yule Rwakatare jamani alinusuru jimbo?2015 naomba uzima jamani!
 
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia mgogoro unaofukuta kati ya Dk Aman na Kagasheki.

Ili kufanikisha mpango huo Kagasheki yuko Bukoba kwa siku tatu zilizopita akifanya vikao vya siri na wajumbe wa mkutano huo. Baadhi ya vijana waliodaiwa kutaka kukabidhi kadi baada ya azimio hilo kupita wametimuliwa eneo la mkutano kama ilivyokuwa kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya maswali yanayohojiwa nje ya ukumbi ni kama kweli kikao hicho kina ubavu wa kufanya
hivyo................endelea kusubiri
Chama hakiwezi kumvua Dr. Amani Umeya ,hiyo ni kazi ya baraza la madiwani wote wa Manispaa ndilo lenye jukumu la kufanya hivyo.Pengine kama chama kuomba madiwani wake wafanye hivyo kwenye baraza la madiwani kwa kuwasilisha hoja binafsi kwa Katibu wa Baraza ambaye ni Mkurugenzi wa manispaa na Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye Mayor.
Kwa ujumla hapa mchochezi wa vita ni Kagasheki na awali nilisema Kagasheki kama anahoja nzito mbona hamgusi Mkurugenzi wa Manispaa maana ndiye mpishi wa kila kitu katika Manispaa?
 
Hapa ndipo tunaona umuhimu wa kutenganisha Uwaziri na ubunge & nafasi ya uongozi katika chama. Understably, Kagasheki lazima awepo kwenye huo mkutano huko Bukoba, but at the same time, kazi zake kama waziri zinakuwa affected na majukumu ya kisiasa.
 
Mambo mengine bwana........mie sitaongea chochote kwa sasa, maana uozo wa Kagasheki niliuweka bayana kwenye video...humuhumu JF. Kitendo cha Dr. Aman (PhD) kuharakisha maendeleo kiasi alichofikia kimemtisha sana Kagasheki.
 
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia mgogoro unaofukuta kati ya Dk Aman na Kagasheki.

Ili kufanikisha mpango huo Kagasheki yuko Bukoba kwa siku tatu zilizopita akifanya vikao vya siri na wajumbe wa mkutano huo. Baadhi ya vijana waliodaiwa kutaka kukabidhi kadi baada ya azimio hilo kupita wametimuliwa eneo la mkutano kama ilivyokuwa kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya maswali yanayohojiwa nje ya ukumbi ni kama kweli kikao hicho kina ubavu wa kufanya hivyo................endelea kusubiri

Yeye Kagasheki amekubali kufanyia mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya kwenye UKUMBI UNAOMILIKIWA NA KANISA!!!.

Wenzake wa Muheza walikataa katakata kufanyia mkutano kwenye ukumbi unaomilikiwa na kanisa. Lakini ajabu wanakubali kufanya kazi na kutibiwa kwenye hospitali ya wilaya ambayo ni mali ya kanisa inaitwa TEULE. Wahenga waliosema Baniani mbaya kiatu chake dawa walikuwa na AKILI.
 
Kama mambo yenyewe ndio hivyo!!yu wapi yule Rwakatare jamani alinusuru jimbo?2015 naomba uzima jamani!
Nasikia Rwakatare ameshapoteza mvuto,kama CHADEMA wanalitaka hilo jimbo wamsimamishe mwanachadema mwingine mwenye mvuto!!
 
Uko sahihi kijana lazima chadema wasimamishe mtu mwingine na sio rwakatare pale maana kashapoteza mvuto kiukweli
 
Mambo mengine bwana........mie sitaongea chochote kwa sasa, maana uozo wa Kagasheki niliuweka bayana kwenye video...humuhumu JF. Kitendo cha Dr. Aman (PhD) kuharakisha maendeleo kiasi alichofikia kimemtisha sana Kagasheki.
Mkulu nyinyi ndio mpo kwenye chungu tupe hizo updates, inaonekana Mhe Kagasheki alitegemea Mhe Meya Dr Amani awe ana ripoti kwake labda???
 
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia mgogoro unaofukuta kati ya Dk Aman na Kagasheki.

Ili kufanikisha mpango huo Kagasheki yuko Bukoba kwa siku tatu zilizopita akifanya vikao vya siri na wajumbe wa mkutano huo. Baadhi ya vijana waliodaiwa kutaka kukabidhi kadi baada ya azimio hilo kupita wametimuliwa eneo la mkutano kama ilivyokuwa kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya maswali yanayohojiwa nje ya ukumbi ni kama kweli kikao hicho kina ubavu wa kufanya hivyo................endelea kusubiri

Kilichomleta Kagasheki sio hicho kikao bali ni Mauaji yaliyofanywa na mwanae maeneo ya Kibeta. Mtoto wa Kagasheki amemgonga mzee mmoja kwa gari na kufariki papo hapo.Kagasheki ilimlazimu afike Bukoba kuweka mambo sawa.
 
Nasikia Rwakatare ameshapoteza mvuto,kama CHADEMA wanalitaka hilo jimbo wamsimamishe mwanachadema mwingine mwenye mvuto!!
Haya mambo ya uchaguzi si yanafuata katiba ya chama??? Tusubiri wakati ukifiak wa kugombea watu watupe karata zao, tuache kupakaza kabla ya wakati!!!!

Mambo mengine bwana........mie sitaongea chochote kwa sasa, maana uozo wa Kagasheki niliuweka bayana kwenye video...humuhumu JF. Kitendo cha Dr. Aman (PhD) kuharakisha maendeleo kiasi alichofikia kimemtisha sana Kagasheki.
Ni kweli mkuu nipo Bukoba Mjini nimeona baadhi ya Barabara zikikarabatiwa vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom