DJ's, tuambie huwa playlist yako unapanga vipi? Vigezo ni nini?

Kwanza kabisa ukiwa msikilizaji na mfuatiliaji mzuri wa music effectively.

Hapo utaweza kutengeneza playlist hata kutoka kichwani na pia kuna tegemea vibe na occasion!
 
Playlist si lazima uwe fan mkubwa wa nyimbo au wasanii. Ni vile unakuwa unazifahamu vibes za muziki unaousikia.
Mf. Genre. Content. Etc.

So, ili upate #playlist nzuri, angalia kwanza unaandaa nyimbo kwa ajili ya tukio gani, na location ipi, pia Audience wako ni akina nani.

1. Mdundo (Beat)
Hii inategemea na ladha husika. Kuna nyimbo ukisikiliza beat yake ni kali sana kuliko maelezo na nyingine ni mbovu, haifai. So kama ngoma ni muhimu lakini biti mbovu, DJ anajua afanyeje ili wimbo aucheze bila beat, na kadhalika.

2. Genre ya wimbo.
Ladha au mahadhi ya muziki yana matter sana kupanga playlist. Kama Ni Dancehall, Ballad, acoustic, Rhythm & Blues, Hip Hop, Opera, Kwaito, Techno, House music, Reggae (roots, loversrock, riddim, klats) etc. NB: Jua kua Bongo flava sio genre.
Mostly, kila wimbo una genre yake. So, that depends.

3. Beats Per Mins (BPM)
Hii ni speed tempo (digital) ya kila wimbo ambayo inaendana na mashine za kuDJ. Hii husaidia kubalance ngoma kwa urahisi. Mf. Wimbo wa Mikasi huenda ikasoma 100 sawasaawa na wimbo wa Maserati (huu ni mfano) then itakuwia urahisi kuchanganya.
DJs wa zamani walikuwa wanapandishia tuu ngoma kwa deki, na wengine walikuwa wanaset BPM kichwani mwao na wakivizia kwenye santuri kufanya beatlocks na kuleta ladha nzuri na ya kipekee, kiasi cha kudhani biti zote ni kitu kimoja, kama wimbo mrefu usio na mwisho.

Kwa sasa, App za kidigitali kama Atomix Virtual DJ na Serato au hata Trator zinafanya kazi hii kwa urahisi, na kuwa kama deki ya kupanga na kuchanganya nyimbo kwa urahisi, ikitambua BPM moja kwa moja

4. Maudhui.
Haya huenda yasitiliwe maanani sana, ila DJ ni sanaa, ya muziki, so DJ bora anajua aandae ngoma gani, ambazo zitafaa kwa tukio husika. Mf. Harusi, msiba au matukio maalum (mikutano, nk.) Utasikia nyimbo maarufu na hits lakini zinaeza kubeba ujumbe ambao licha ya kuburudika, ila na lengo lake likafika mahala husika.
Mapenzi, kuachana, kutongoza, harakati, nk. Nishatongozaga sana kwa playlist tuu, na kuopoa vimwana kadhaa.

5. Tempo
Hapa namaanisha ule uchangamfu wa wimbo. Kuna ngomaa zingine zimekaa kupoapoa tuu na zingine zinaamsha balaa..hata kama vitu vyote hivyo vipo sawa. Mf. Make a Toast ni wimbo flani hivii wa bata lakini umekaa kimajonzimajonzi flani hivii..so unapoutumia kwenye playlist zako unakua makini.
Tempo inakusaidia kuhama kutoka kwenye genre moja hadi nyingine kwa urahisi mf. Upige RnB then uelekee crank (hadi trap) alafu upande mpaka nyimbo za kudance, then ukimbize mpaka singeli.
Inaumiza sana kichwa, ila Mtu mwenye kazi yake hashindwi kuwa na skills za kutosha kubalance hayo yote.

6. Limitation (Censorship)
Ninaita hivi kw amakusudi coz kila jambo lina mipaka yake. Kuna ngoma zingine hazifai kupigwa hata kama zina vitu vizuri, ila mazingira au wakati au lugha au hata maudhui yanaweza kukuzuia kuzitumia. Huez gonga Nyambizi ya Dully sykes kwenye harusi, au birthday ya mtoto. Kuna watu walikuwa wanacheza nyimbo ya Papa - Giggy money kwenye birthday hadi watoto wanaifurahia na kuifuatisha.

Hayo ni machache na ya msingi ambayo madj wengi huzingatia kupanga playlists za nyimbo zao

Ukitaka kujua zaidi kuhusu uDJ, vipo vyuo kadhaa Jijini Dar na mikoani na unaweza jifunza sanaa hii kwa urahisi
 
DJs wa zamani walikuwa wanapandishia tuu ngoma kwa deki, na wengine walikuwa wanaset BPM kichwani mwao na wakivizia kwenye santuri kufanya beatlocks na kuleta ladha nzuri na ya kipekee,

Naomba maelezo ya BEATLOCKS inavyofanyika.
Inamaana BEATLOCKS ndo ilikuwa inafanya kazi badala ya BEATMACHING ???

Naomba maelezo tafadhali.
 
upo vizuri broo.

Yes, nimemaanisha beatmatch..kwamba unaibananisha nyimbo moja na nyingine kwa loop.

Nashukuru kwa kuniweka sawa, hongera kwa umakini.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom