Dj Khalid anaimba vitu gani, kila wimbo kashirikishwa

we dogo ni punguani wa head
hahahaaaah! sasa mzee we c ndo taahira kabisa? kama kitu kidogo kama hicho kinakufua namna hiyo, utaweza mambo complicated? afu cha kushangaza unaelekezwa na bado huelewi... kweli kuishi na wazee km hawa kazi kwelikweli
 
inaonekana huna wakubwa kwenu

wapo wa kutosha ila ni waelewa sana, kama kitu hawakijui watahangaika kwanza wao wenyewe kwa ukubwa walionao wakishindwa wanaomba usaidizi tena kwa kusema, nimefatilia nmekwama hapa.. hapo hata dogo langu la chekechea linamjib kiustaarabu... ila km kichwan empty lazima apuuzwe
 
Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa Marekani anayejiita Dj Khalid

Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani

Anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another one" na mwisho humalizia hivyo hivyo hapo anakuwa amemaliza

Dj Khalid! another one
Huyu ni mtu wa fursa tu, kwa hapa Bongo namfananisha na underground mmoja anajiita DJ Ommy Jones....hawana issue yaani ni jina tu na kutembelea nyota za watu.
 
Back
Top Bottom