Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

Ni kazi ngumu sana kumtaja Rapper bora Tanzania, ni sawa na kuulizwa mwanamke gani mzuri kuliko wote TZ?
 
Fid q ni mkali sana tena sana ila si zaidi ya Fid q wa enzi zile. Kuna vitu kapunguza na manjonjo fulani aliyoongeza yanamfanya ashindwe ku compete na yule Fid wa usinikubali haraka, propaganda, sihitaji marafiki, proffesional na nyinginezo! Ukitaka kumsikia Fid wa enzi zile sikiliza ngoma ya nyota wa mchezo yupo na kiroboto.

Kuhusu Dizasta vina, huyu ndio anakaribia kuwa copy ya Fid wa enzi zile.... Fid wa sasa akiwekwa na Dizasta lazima apigwe, kinachomlinda Fid ni ile legacy ambayo ameiweka kitambo.
anakaribia kuwa copy?? kwa nyimbo gani baunsa unazingua??? uyo dizasta ananyimbo level za propaganda au ielewe mitaa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu jamaa ana swagger kupitiliza, zile za 2Pac za "and I can make you famous".

VERSE 1

Naitwa kaka meneja mzee wa fitina tangu kale
Mr. Middle Man, boss staff wallet, Babu Talent
Natoka Manzese, Tip Top connection
Huku hatupendi ugumu labda Hip Hop commercial
Madii alikuwa ana rap, nikamwambia hiyo haiuzi
Siku hizi anaimba video anashutia South
Anabang sana Clouds,ngoma kali zinapigwa
Huku Daudi wa kota akiongoza wakali wa media
Nimekuwa mdananda kwenye game before
Enzi hizo brother ndo, anamtoa MB Dog
Na Z Anton,the realer killer,same thing yo
Japo wengi wameflow, from the fame to being broke
Msinilaumu, mlipata pesa mkacheza
KamaTunda Man sijui hata wapi alipowekeza
Nna pesa, nna magari mijengo biashara kubwa
Siwezi bishana na Baghdad wala afande mla msuba

Chorus

BABU TALENT X 4

VERSE 2

Napiga tu mabao, kila mpira wavuni
Nna connection kibao, kwenye kila kampuni
Ukiniletea hasira za Q-Chilla na uhuni
Nakuacha bila bila kapuni mila kanuni
Nikopia kwenye academy, za kuandaa tuzo
Hip Hop nilimpa Neilly (?) hali hazijuinguzo
Aliondoka kwa pozi akarudikwa chozi Dogo Janja
Singeli inabamba sikui hizi uswazi shorwe mwamba
Na Man Fongo, nataka niwachukue
Niwafanyie promomajina yao yakue
Watokezee EATV Cheche za Duwe
Ndoto nifufue, milango ya fursa niifungue
Kifupi nimshika kila media
Muziki ni biashara huwezi bisha bila tija
Nilimpenda Nikki Mbishi kwenye Play Boy Too
Sio nifanye tena playboy, iwe Playboy two?

Chorus

BABU TALENT X 4

VERSE 3
Niko na mwanagu gaidi sela
Allthe way from Temeke tunafaidi hela
Tunataka Yamoto Band wageuke barafu
Chege na Temba TMK, mbombo ni ngafu
Mitaa haiwatakijapo wapo kwa safu
Kichaa hawanipati nipo dampo pachafu
Bundle na surf tu, halafu followers wa kutosha
Nikiwa na Dangote shobo nasi za kutosha
Siunajua tena chama la Wasafi
Hip Hop sio jifanyeni wanaharakati
Harmonize kaja jana na leo anakaa Masaki
Anavaa mashati,siku hizi hafanani kukaa Masasi
Siko talented, ila ndo Babu Talent
Dotto alinibatiza tena mbele za Daz Nalez (?)
Na Mo Technics,Pesa ya Madafuu
Mida inakwenda bro, we soma saa tu

BABU TALENT X 4
nilimpa ney (ney wa mitego) tuzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom