Dizaini mpya ya hijabu!

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:punctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent> <w:AlwaysShowPlaceholderText>false</w:AlwaysShowPlaceholderText> <w:Compatibility> <w:BreakWrappedTables/> <w:SnapToGridInCell/> <w:WrapTextWithPunct/> <w:UseAsianBreakRules/> <w:DontGrowAutofit/> </w:Compatibility> <w:BrowserLevel>MicrosoftInternetExplorer4</w:BrowserLevel> </w:WordDocument> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <w:LatentStyles DefLockedState="false" LatentStyleCount="156"> </w:LatentStyles> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 10]> <style> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} </style> <![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <o:shapedefaults v:ext="edit" spidmax="1026"/> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <o:shapelayout v:ext="edit"> <o:idmap v:ext="edit" data="1"/> </o:shapelayout></xml><![endif]--> DIZAINI MPYA YA HIJABU!
 
Huyo ni yule mkuu wa Wilaya kule Igunga aliezua gumzo... anaedai ati CDM wamemvua hijabu
 
Daaah! Kweli hiyo ni aina mpya kabisa... Dira linaitwa hijab siku hizi?
 
halafu eti bakwata wanadiriki kutoa tamko kwamba chadema waombe radhi kwa kumvua hijabu DC. Wameishakuiona picha hii kweli???? Sasa naanza kuamini kua bakwata ni chombo cha ccm,,, haiwezekani chombo cha heshima, chombo cha imani, kichochosimamia maswala ya kiimani yanayokataa uwongo KIUDANGANYE umma,
 
Wanapomaanisha hijabu huwa wanaaanisha vazi la heshima ambalo linamstiri mwanamke kuficha sehemu zake zinazoweza kumwingiza mtu wa jinsia nyingine katika mwonekano wa tamaa au kumtia majaribuni sasa hata nyele pia ni kitu kimojawapo ilaaa ule ni mtandioo wana jr mama aliteleza kidogo
 
kwann vyama vinaingiza dini ila ccm itambue kuwa wananchi wameamka sio matonzoba hyo imekula kwao
 
Daaah! Kweli hiyo ni aina mpya kabisa... Dira linaitwa hijab siku hizi?

Grrrrrrrrr :(
Anyway may be hujui kutofautisha, dira na vazi linalofunika mwili nzima mpaka shingoni na Hijabu huvaliwa kichwani na kufunika mpaka shingoni.

Jamani acheni hulka hizi maana ni kama mna-offend imani za watu wengine, pia wapo wanachama wa CDM ambao ni waislamu na naamini kabisa wanasononeka sana kwa udhalili huu unaoruhusiwa kujadiliwa humu JF.

Apparently, kutokana na mwamko mkubwa walionao wananchi kwa sasa it's true kwamba wapo baadhi ya waislamu wenye dhamira ya kujiunga rasmi na CDM lakini kwa offensive kama hizi dhidi ya imani za waislamu ni wazi kuwa kutakuwa na kigugumizi.
 
To be honest that does not amount to hijabu!.The Arabic word literally means curtain or cover (noun). Most Islamic legal systems define this type of modest dressing as covering everything except the face and hands in public.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] According to Islamic scholarship, hijab is given the wider meaning of modesty, privacy, and morality;[SUP][3][/SUP] the words for a headscarf or veil used in the Qur'an are khim&#257;r (&#1582;&#1605;&#1575;&#1585;) and jilbaab (&#1580;&#1604;&#1576;&#1575;&#1576;), not hijab. Still another definition is metaphysical, where al-hijab refers to "the veil which separates man or the world from God."http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-Glasse.2C_Cyril_2001.2C_p.179-180-1
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom