Diwani wa Katanga Kakonko(CHADEMA) ahamia CCM baada ya kuvunjiwa nyumba na kutishwa kubambikiwa kesi

Mar 3, 2018
75
799
Nimeongea na Diwani wa Katanga bwana Oscar Kazihise,amenijulisha kuwa amevunjiwa milango ya nyumba usiku,akakamatwa,akapelekwa kwa ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kakonko,akamtishia kwamba anampa kesi ya kuchoma ofisi za kijiji chake baadae akapelekwa ofisi ya CCM akasainishwa barua ya kuacha udiwani. Baada ya kumaliza kusaini akaambiwa hana kesi tena.

Nimeamini kuwa kuoa sio kigezo cha uanaume,unaweza kuendelea kuwa mvulana tu.
Wavulana wawili Buyungu wameamua kwenda CCM.

Tunawasumbua wananchi wetu sana.
 
Nina wasiwasi na haya maelezo. Ila nimesoma tu.
 
Mbona mizigo unatuliwa kwa nguvu hivyo,ajaelemewa na mzigo ila ameshurutishwa kuutua bila ridhaa yake.
 
Back
Top Bottom