Diwani wa kata ya maroroni akataa kusaini mkataba wa uchimbaji visima

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Heshima Mbele kwa wanabodi, katika kile kinachoenekana ni siasa za maji taka na kukwamisha ahadi za Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki ya kuchimba visima katika kata ya maroroni diwani wa kata hiyo kwa tiketi ya CCM Bw. Kaaya aligoma kusaini mkataba wa uchimbaji wa visima hivyo hali iliyopelekea katibu wa CDM Wilaya ya Arumeru kusaini kwa niaba ya diwani.Huyu diwani amekuwa akituhumiwa kukwamisha miradi mbali mbali ambayo huletwa na wahisa na wakati mwingine hata kutumia vijana kuhujumu hiyo miradi.
Mytake:Hivi madiwani kama hawa ambao wanakwamisha shughuli za maendeleo wapo kwa ajili ya nani?
Nassari kama anatembelea Jf jihadhari na hawa madiwani wa CCM Wamedhamiria kukwamisha utekelezaji wa ahadi zako wakihamini kuwa wewe una kiungo na wapiga kura wako.
Nawasilisha
 
Kuchimba kisima kinaitaji sahihi ya Diwani na kama asipo saini kisima hakichimbwi?
 
We mzee kaaya kore satana ro, (una shetani?) tangia kuumbwa kwa ulimwengu hatujaona maji then leo tumepata neema unaleta use...hivi nyie ccm roho za watz ni mali yenu, na tutakuja ichoma nyumba yako ngoromiko mkubwa.
 
Kuchimba kisima kinaitaji sahihi ya Diwani na kama asipo saini kisima hakichimbwi?

Hata mimi nashangaa eti lazima diwani asaini kwani kinachimbwa shambani kwake? Madiwani wa CCM wa Arusha wanakera sana kwani hata kule Olasiti eti diwani alikataa kupokea msaada wa madawati kisa kuogopa kuhujumiwa kisiasa. Hawa jamaa wamekuwa na kiburi sana wakati hii misaada ni kwa ajili ya wananchi wala si familia zao.
 
Naomba wananchi wa kata hiyo walijue hili suala, ili wafaham aina ya diwani walio naye. Huyo diwani ana roho ya kisokolokwinyo! Aache tabia hiyo mara moja!
 
Heshima Mbele kwa wanabodi, katika kile kinachoenekana ni siasa za maji taka na kukwamisha ahadi za Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki ya kuchimba visima katika kata ya maroroni diwani wa kata hiyo kwa tiketi ya CCM Bw. Kaaya aligoma kusaini mkataba wa uchimbaji wa visima hivyo hali iliyopelekea katibu wa CDM Wilaya ya Arumeru kusaini kwa niaba ya diwani.Huyu diwani amekuwa akituhumiwa kukwamisha miradi mbali mbali ambayo huletwa na wahisa na wakati mwingine hata kutumia vijana kuhujumu hiyo miradi.
Mytake:Hivi madiwani kama hawa ambao wanakwamisha shughuli za maendeleo wapo kwa ajili ya nani?
Nassari kama anatembelea Jf jihadhari na hawa madiwani wa CCM Wamedhamiria kukwamisha utekelezaji wa ahadi zako wakihamini kuwa wewe una kiungo na wapiga kura wako.
Nawasilisha

Haihitaji kibali cha Diwani Mbunge kutekeleza au kufanya shughuli za maendeleo kwa wapiga kura wake!
 
Hakuna kilicho kipya hapo. Yaani mara hii mmesahau kama wanene hao waliahidi kuwa ikiwa Wana-Arumeru watamchagua Mbunge Nassari jimbo hilo litakuwa likizoni. Ninyi mlidhani ni likizo ipi kama si hujuma za kipuuzi kama hizo? Dawa yao ni moja tu. Ni kuwashitaki kwa waajiri wao (Wananchi) ili utaratibu madhubuti uwekwe tangu sasa kuwachinjia baharini kupitia sanduku la kura mara tu fursa itakapopatikana.
 
Huyo diwani hamnazo kweli, anahisi asiposaini itashindikana? Imekula kwake, wananchi watakunywa maji na yeye kuonyesha anapinga asinywe maji hayo!
 
Kuchimba kisima kinaitaji sahihi ya Diwani na kama asipo saini kisima hakichimbwi?

Pole Ritz, Duhh tumekumiss. Kwanini rafiki yako anakataa kusaini. Ukubali yaishe. Kwanza amebakiza miaka mitatu tu ya udiwani.
 
Hiyo ni nzuri kwa diwani kukataa kusign, ilikuwa hivyo hivyo kwa Dr.Slaa baada ya uchaguzi wa 1995, madiwani wengi walijitokeza kukwamisha ahadi zake, uchaguzi wa 2000 ulikuwa wa kuwafukuza madiwani wa ccm katika h/shauri ya Karatu. Hila za ccm siku zote zinaangukia pua!!!!!!
 
Nassari itisha mkutano wa hadhara kata husika, uwe na mkataba huo mkononi, uwaambie kinagaubaga wapiga kura kuwa anayepaswa kusaini mkataba huo kisheria ni diwani kwa niaba ya wanakata (wakazi wa kata) na uwaambie jinsi diwani huyo wa ccm anavyohujumu maendeleo yao kwa maelekezo ya chama chake. usichelewe tafadhali
 
watu wengine bana watu wanapata kitu adimu ye analeta zengwe iyo sehemu ina shida ya maji ye hakuliona hilo before au ndo walewale
 
Diwani kama huyo adhabu yake ni kupigwa mawe hadi afe.Yaani yeye anataka watu wafe kwa kiu, basi auwawe yeye.
 
Anaogopa kutofautiana na wenzake ndani ya Chama Cha Maga.mba, si unajua magam.ba mtaji wao ni umasikini wa Watz
 
Tunasaini karatasi tu. Ila kisima tunachimba miamba ya MUNGU. Huyu diwani naona akili imesokota kama kanda za zamani (VHS).
 
Back
Top Bottom