Diwani wa Kata ya Makiba wilayani Arumeru, Emmanuel Mollel(CHADEMA) ajiuzulu

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Salamu Sana:

Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuntu Kutoa Taarifa Kwamba Aliyekuwa Diwani Kupitia Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Kwa Kifupi CHADEMA Kwa Kata Ya Makiba NDUGU EMMANUEL MOLLEL Ameamua Kwa Ridhaa Yake Kuachia Nafasi Yake Ya Udiwani (KUJIUZULU) Wa KATA Hiyo Kwa Kufurahishwa Na Kazi Nzuri Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya TANO Ya Rais John Pombe Magufuli Na Kutokuridhishwa Na Mwenendo Mbovu Unaofanywa Na Chama Chake Hapa Wilayani Arumeru Mkoa Wa Arusha.

Diwani Emmanuel Mollel Wakati Akikabidhi BARUA YAKE YA KUJIUZULU Kwenye Ofisi Zetu Kama Ushahidi Wa Kimaandishi Amesema Toka Amejiunga Na Chadema Na Kupewa Ridhaa Na Wananchi Wa Makiba Hakuna Cha Msingi Chenye Dhamira Njema Ya Baraza La Madiwani Wa Kwa Chama Chao Wamekifanya Kwa Wananchi Zaidi Ya MIGOGORO ISIYOKWISHA Kuliko Kutatua Changamoto Za Wananchi Wao. Mathalani Amewalaumu Madiwani Wenzake Kwa Kutanguliza Maslahi Yao Binafsi Kuliko Ya Wananchi Wanaowatumikia.

Aghalabu Diwani Emmanuel Mollel Kwa Dhati Ya Moyo Wake Ameamua Kuungana Na Mkuu Wa Wilaya Ndugu ALEXANDER PASTORI MNYETI Kwa Juhudi Kubwa Na Uchapakazi Wake Ambao Ndio Ulimwongezea Hari Ya Kuachana Na Nafasi Yake Ya Udiwani Na Kuungana Naye Bega Kwa Bega Kuwaletea Wananchi Hususani Wa KATA Ya Makiba Maendeleo.

Mosi Diwani Mollel Alimaliza Kwa Kuwahasa Wananchi Wa Makiba Na Arumeru Kwa Ujumla Kumpa Ushirikiano Wa Kutosha Mkuu Wa Wilaya Ndugu Mnyeti Pamoja Na Kuunga Juhudi Zote Zinazofanywa Na Chama Cha Mapinduzi Na Serikali Yake Kuwapatia Maendeleo Wananchi Wake Bila Kubagua Dini,Jinsia, Kabila, Chama Wala Rangi Na Kusema Kwa Sasa Roho Yake Ina Amani Kwa Kuachana Na Siasa Za Kitapeli Zinazofanywa Na Chadema.
Mwandishi ni titho cholobi

Wasalamu.
 
Kwani anakatazwa kuungana na DC kufanya naye kazi akiwa ni diwani aliyetokana na CHADEMA?? Alivyobaki hana cheo atasaidiana vipi na Mkuu wa Wilaya?
Kama nia yake ni kumuunga mkono DC angebakia diwani kwa kuwa ana ushawishi na yuko karibu na wananchi

Aghalabu Diwani Emmanuel Mollel Kwa Dhati Ya Moyo Wake Ameamua Kuungana Na Mkuu Wa Wilaya Ndugu ALEXANDER PASTORI MNYETI Kwa Juhudi Kubwa Na Uchapakazi Wake Ambao Ndio Ulimwongezea Hari Ya Kuachana Na Nafasi Yake Ya Udiwani Na Kuungana Naye Bega Kwa Bega Kuwaletea Wananchi Hususani Wa KATA Ya Makiba Maendeleo.

QUOTE]
 
Salamu Sana:

Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuntu Kutoa Taarifa Kwamba Aliyekuwa Diwani Kupitia Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Kwa Kifupi CHADEMA Kwa Kata Ya Makiba NDUGU EMMANUEL MOLLEL Ameamua Kwa Ridhaa Yake Kuachia Nafasi Yake Ya Udiwani (KUJIUZULU) Wa KATA Hiyo Kwa Kufurahishwa Na Kazi Nzuri Inayofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya TANO Ya Rais John Pombe Magufuli Na Kutokuridhishwa Na Mwenendo Mbovu Unaofanywa Na Chama Chake Hapa Wilayani Arumeru Mkoa Wa Arusha.

Diwani Emmanuel Mollel Wakati Akikabidhi BARUA YAKE YA KUJIUZULU Kwenye Ofisi Zetu Kama Ushahidi Wa Kimaandishi Amesema Toka Amejiunga Na Chadema Na Kupewa Ridhaa Na Wananchi Wa Makiba Hakuna Cha Msingi Chenye Dhamira Njema Ya Baraza La Madiwani Wa Kwa Chama Chao Wamekifanya Kwa Wananchi Zaidi Ya MIGOGORO ISIYOKWISHA Kuliko Kutatua Changamoto Za Wananchi Wao. Mathalani Amewalaumu Madiwani Wenzake Kwa Kutanguliza Maslahi Yao Binafsi Kuliko Ya Wananchi Wanaowatumikia.

Aghalabu Diwani Emmanuel Mollel Kwa Dhati Ya Moyo Wake Ameamua Kuungana Na Mkuu Wa Wilaya Ndugu ALEXANDER PASTORI MNYETI Kwa Juhudi Kubwa Na Uchapakazi Wake Ambao Ndio Ulimwongezea Hari Ya Kuachana Na Nafasi Yake Ya Udiwani Na Kuungana Naye Bega Kwa Bega Kuwaletea Wananchi Hususani Wa KATA Ya Makiba Maendeleo.

Mosi Diwani Mollel Alimaliza Kwa Kuwahasa Wananchi Wa Makiba Na Arumeru Kwa Ujumla Kumpa Ushirikiano Wa Kutosha Mkuu Wa Wilaya Ndugu Mnyeti Pamoja Na Kuunga Juhudi Zote Zinazofanywa Na Chama Cha Mapinduzi Na Serikali Yake Kuwapatia Maendeleo Wananchi Wake Bila Kubagua Dini,Jinsia, Kabila, Chama Wala Rangi Na Kusema Kwa Sasa Roho Yake Ina Amani Kwa Kuachana Na Siasa Za Kitapeli Zinazofanywa Na Chadema.
Mwandishi ni titho cholobi

Wasalamu.
Mkuu taarifa umeiandika kiudaku udaku ukiongozwa na dhamira ya umbea, nakushauri jifunze matumizi ya aghalabu na mosi kwani hayaendeni na mtiririko wa umbea wako.
 
Ha ha haaa haaaaa Msaliti x 30000 bado tumsikie mzee Edward Lowasa akirejea kundini. Mwaka 2019 lowasa atarejea ccm huku akiwa na imani na mwenendo wa chama chake cha enzi na enzi. Ha haaa enzi hizo chagadema sijui itakuaje. Kama TLP
 
Hongera kwa kuwa msmaji wa chadema uapnde wa matukio., ya kujiuzulu kwa wananchama.
 
Sijajua ni hiyo Simu unayoitumia bado hujaweza kuitumia vizuri? au ni elimu ndogo, jifunze matumizi ya herufi kubwa kwanza.
 
Sijamuelewa Mheshimiwa Diwani.
Au mleta uzi hujaeleza kilichopelekea yeye kujiuzulu kiufasaha.
Kama umeeleza sahihi, basi tuna ombwe la viongozi kuanzia ngazi za chini
 
Back
Top Bottom