Vincent Munde
Member
- Jun 2, 2016
- 31
- 22
Diwani wa Kata ya Iseke chadema Mhe Emanuel J.Jingu amehukumiwa na mahakama ya mwanzo-Ikungi chini ya Hakimu Mh Nindi, kwenda jela miezi mitano au faini ya sh 500,000/- kwa kosa la kutukana viongozi wa serikali ya kijiji cha muungano katika kata ya Unyahati wilayani Ikungi wakiwa kwenye kikao cha halmashauri ya kijiji.
Mara Baada ya hukumu Mhe Emanuel J Jingu ameshindwa kulipa faini hivyo amepelekwa magereza Mkoa wa singida kuanza kutumikia adhabu hiyo.
Pamoja na hukumu hiyo Diwani huyo anakabiliwa na kesi nyingine ya kuzuia ukusanyaji wa mapato,kutoa Matusi Hadharani na kumzuia afisa wa serikali kufanya majukumu yake.