Diwani wa kata ya Gangilonga hatoshi,CCM mtimueni haraka !!

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Sakata la uuzwaji wa maeneo ya wazi yanayomilikiwa na shule lililoibuliwa na PM Mh. Majaliwa akiwa Iringa, limenifanya kuunganisha doti ya mambo mengi ya kihuni na kipuuzi yanayoendelea kata ya Gangilonga chini ya Diwani anaejifanya msomi kuliko wenzake Ndg.Leonald Mgina. Huyu jamaa ukikutana nae kwa mara ya kwanza utasema ndio Mbunge wa Iringa mjini. Ni mjanjamjanja sn hasa akichanganya na kadigrii kake nazani ka Saikoloji. Kwa wasiomjua vzr huyu jamaa kwanza alipita bila kupingwa baada ya Diwani wa Chadema aliekuwepo awali kuunga juhudi. Na uchaguzi uliporudiwa Mr. Mgina alipita bila kupingwa baada mgombea wa Chadema kufanyiwa figisu za wazi wazi kwa kushindwa kurejesha fomu kwa wakati nazani hii mbinu mnaijua,just kwa ufupi.

Kwanini nasema chama kimtimue huyu jamaa!
1. Kwanza ameigeuza kazi ya udiwani km full time job. Imefikia hatua amegeuka kuwa km mtendaji kata. Mda mwingi anazozana na mtendaji kata kutokana na kuingilia utendaji ofisi.Pia anasemekana kuwasumbua watumishi wa kata kwa kupeleka umbea ofisi za juu na kuwafanya baadhi ya watumishi kuomba kuhama kata hiyo
2. Hutembea kwa wafanyabiashara wakubwa km wamiliki wa Shell za mafuta,na matajiri wengine km ASAS na kukusanya fedha kwa kisingizio cha kukarabati barabara na kiasi kikubwa cha pesa hutumia kwa matumizi yake binafsi bila hata kamati ya maendeleo kata kujua fedha imetumikaje.

3. Hutembea mashuleni na vyuo vyote vilivyo kwenye kata akijifanya kukiuza chama lakini kumbe anatengeneza mazingira ya kutafta maeneo ya wazi ili ayauze kwa kushirikiana na watumishi wa Ardhi ambao si waaminifu.

4.Amekua akitengeneza uadui wa wazi wazi kwa wenyeviti wa mitaa wa CCM wanaojaribu kumchalenji au kuhoji mambo mbalimbali ktk uongozi wake.Amekua akiwatisha na kutengeneza mazingira wasipitishwe kugombea uchaguzi ujao serikali za mitaa.Watu wamemchoka dn huyu jamaa sema kwa hali ya siasa ilivyo sasa watu hawana pa kusemea. CCM timueni haraka huyu mtu anaharibu taswira ya chama!!
tapatalk_1569802823867.jpeg
 
Mbaka waziri mkuu anajua ..
Taarifa zipo
Alafu ccm hawana hulka ya kutimuana nje ya chama ...kama udiwani ndi kabisa kwakuwa kachaguliwa na wananchi...
Labda wasipitishe jina 2020 mbali na hapo sahau
 
Sakata la uuzwaji wa maeneo ya wazi yanayomilikiwa na shule lililoibuliwa na PM Mh. Majaliwa akiwa Iringa, limenifanya kuunganisha doti ya mambo mengi ya kihuni na kipuuzi yanayoendelea kata ya Gangilonga chini ya Diwani anaejifanya msomi kuliko wenzake Ndg.Leonald Mgina. Huyu jamaa ukikutana nae kwa mara ya kwanza utasema ndio Mbunge wa Iringa mjini. Ni mjanjamjanja sn hasa akichanganya na kadigrii kake nazani ka Saikoloji. Kwa wasiomjua vzr huyu jamaa kwanza alipita bila kupingwa baada ya Diwani wa Chadema aliekuwepo awali kuunga juhudi. Na uchaguzi uliporudiwa Mr. Mgina alipita bila kupingwa baada mgombea wa Chadema kufanyiwa figisu za wazi wazi kwa kushindwa kurejesha fomu kwa wakati nazani hii mbinu mnaijua,just kwa ufupi.

Kwanini nasema chama kimtimue huyu jamaa!
1. Kwanza ameigeuza kazi ya udiwani km full time job. Imefikia hatua amegeuka kuwa km mtendaji kata. Mda mwingi anazozana na mtendaji kata kutokana na kuingilia utendaji ofisi.Pia anasemekana kuwasumbua watumishi wa kata kwa kupeleka umbea ofisi za juu na kuwafanya baadhi ya watumishi kuomba kuhama kata hiyo
2. Hutembea kwa wafanyabiashara wakubwa km wamiliki wa Shell za mafuta,na matajiri wengine km ASAS na kukusanya fedha kwa kisingizio cha kukarabati barabara na kiasi kikubwa cha pesa hutumia kwa matumizi yake binafsi bila hata kamati ya maendeleo kata kujua fedha imetumikaje.

3. Hutembea mashuleni na vyuo vyote vilivyo kwenye kata akijifanya kukiuza chama lakini kumbe anatengeneza mazingira ya kutafta maeneo ya wazi ili ayauze kwa kushirikiana na watumishi wa Ardhi ambao si waaminifu.

4.Amekua akitengeneza uadui wa wazi wazi kwa wenyeviti wa mitaa wa CCM wanaojaribu kumchalenji au kuhoji mambo mbalimbali ktk uongozi wake.Amekua akiwatisha na kutengeneza mazingira wasipitishwe kugombea uchaguzi ujao serikali za mitaa.Watu wamemchoka dn huyu jamaa sema kwa hali ya siasa ilivyo sasa watu hawana pa kusemea. CCM timueni haraka huyu mtu anaharibu taswira ya chama!!View attachment 1219209
Subiri uchaguzi ukagombee wewe unaetosha
 
Back
Top Bottom