Diwani wa CUF wilayani Ruangwa mjini mkoani Lindi ajiuzulu

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Diwani wa CUF anaetambulika kwa jina maarufu Selenge amejivua udiwani diwani huyo alikua hapo hapo Ruangwa mjini kata ya Nachingwea miongoni mwa kata mbili za huko mjini Ruangwa.

Ruangwa mjini kuna kata mbili na zote zilichukuliwa na CUF kata moja ipo wazi na sasa CUF amebakiwa na kata moja mjini hapo.

Kuna tetesi za madiwani wawili wa CHADEMA na CUF kata ya matambarare na namichiga wilayani Ruangwa inasemekana nae wapo mbioni kujiuzulu.

Ifahamike ya kua Jimbo hilo ndiyo alilotokea waziri mkuu wa awamu ya tano.

Pamoja na kujiuzulu kwa diwani huyo almaarufu kwa jina la Selenge haijafahamika atatimkia wapi japo kuna tetesi za kutimkia CCM.
 
Kipindi Cha nape na kinana walikuwa wanawatisha mawaziri mizigo.


Kipindi cha polepole kikobize kununua wapinzani.


Mawaziri mizigo wanakula kiyoyozi nakuwapeleka wabakaji studio.


UPINZANI UNATOKA MOYONI HAO WANAOWANUNUA WATAKUJA KUWA THREAT KWA UONGOZI WA CCM.

labda kama wataingizwa kwenye payroll PESA ya rushwa huwa inaisha fasta bila kufanya la maana.

CCM Mnaponunua pigeni hesabu la mbali.
 
Back
Top Bottom