DIWANI wa CHADEMA ARUSHA ahamia CCM

kali popote

JF-Expert Member
May 3, 2017
394
281
Diwani wa CHADEMA Kata ya Ngarenaro jiji la Arusha, Isaya Doita leo rasmi tarehe 12/03/2020 amejiunga rasmi chama Cha mapinduzi, ni dhahiri madiwani wetu wa CHADEMA jiji la Arusha wanaisha sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado Bananga huku Sombetini. Juz kati kuna fasi nilimuona katika maongezi nikajua tayari ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom