Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Diwani wa Arusha mjini kata ya Themi Edmund melance Kinabo ameanza kwa kasi ya ajabu na ametoa misada kwa kaya masikini ambayo ccm walishindwa toa, viwanja vinapimwa kata ya themi ongereni viongozi wa Chachadema kata ya themi na mh diwani