Diwani wa ccm mbaroni kwa wizi wa pikipiki

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,733
5,006
Diwan wa viti maalumu ccm wilayan kilosa mkoa wa morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukamatwa na pikipiki ya wizi
kamanda polisii alisema diwan huyo alikamatwa nov 9 asbh huko wilaya ya kilosa

wanasema diwan huyo na amina shaban wanashikiliwa mpaka sasa kwa kukutwa na pikpik kinyume na sheria diwan huyo anadaiwa kukutwa na pikipik 2 ambapo moja imekamatwa moja inatafutwa alisema polisi wanaendelea na uchunguzi na atafikishwa mahakamani baada ya uchunguzi
 
Punctuation?
 
hiyo ndio sifa kubwa ya ccm,kura mmeiba haziwatoshi,asa mmeanza na mali za watu,mijizi nyie!!
 
Wengi huwa wanakimbilia ccm ili kujificha na kuficha uovu wao. WAsafi wanaogopa vyama kama Chadema!
 
Diwan wa viti maalumu ccm wilayan kilosa mkoa wa morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukamatwa na pikipiki ya wizi
kamanda polisii alisema diwan huyo alikamatwa nov 9 asbh huko wilaya ya kilosa

wanasema diwan huyo na amina shaban wanashikiliwa mpaka sasa kwa kukutwa na pikpik kinyume na sheria diwan huyo anadaiwa kukutwa na pikipik 2 ambapo moja imekamatwa moja inatafutwa alisema polisi wanaendelea na uchunguzi na atafikishwa mahakamani baada ya uchunguzi

jamani aliyeiba ni mtu na sio Chama.
 
Back
Top Bottom