Diwani wa ccm aangatuka akiri ahadi alizotangaza azitekelezeki!!!mungu akuweke

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani kwa walioangalia taarifa ya habari leo asbh
itv kuna diwani mmoja ameonyeshwa live akitangaza
kujivua udiwani kwa kusema amejitahdi kwa muda mchache akiarajia
msaada toka serikalini kutimiza matakwa ya wananchi lakini kila
akipeleka malalamiko ama mahitaji awamjibu ama kumkatia simu wahusika
wakuu ...baada ya kukaa na familia yake ameona ataki kwenda kujibu dhambi
aliokuwa na uwezo wa kuiepuka akaamua kungatuka rasmi......nilikuwa navaa soksi nawahi
fasta sikuweza kukumbuka ni wawapi kwa walioona mnaweza kutupa zaid

hii ingetokea kwa hawa washenzi mawaziri ingetusaidia sana sana wako wahuni wanatangaza hadharani shida zilizo juu ya uwezo wao na wakifikisha matatizo kwa
jk kesi inaishia hapo...upuuzi mtupu..umeshindwa ulioosema ngatuka waachie wengine

kila la kheri x diwani pongezi kwa kukataa kula fedha za maskini wenzako
 
Ivi hajui kuwa ata bosi wake JK ana lundo la ahadi ambazo hatazitimiza?
 
Wasiwasi wake tu. Nani kamwambia kuwa wadanganyika huwa wanajali hata kama hujatimiza ahadi ulizotoa wakati wa kampeni?
 
Ulikuwa unavaa soksi? Soksi zipi? Maana kuna soksi na Soksi!

Ulikuwa unaota wewe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom