Diwani wa CCM 2005-2010 Peter j. Namalozo ajiunga CHADEMA.

simaye

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
426
225
Hali ya CCM Manispaa ya Sumbawanga inazidi kuwa mbaya baada ya kada Maarufu na wa muda mrefu Peter Namalozo kuhamia CHADEMA katika mkutano uliofanyika eneo la SOWETO.

Eneo hili jana tarehe 10/12/2014 Mwenyekiti wa CCM alikuwa akizomewa na wananchi muda wote alipokuwa akizungumza.
 

Attachments

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Haya maccmescrow yanaanza kuzinduka na kuungana na wananchi.
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,044
2,000
usikute ndiye mwenye ID YA
Ritz maana amekuwa adimu hapa jukwaani
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom